utapoteza v2 vingi na muda mwingi ukija kukumbuka kushakucha utabaki jilaumu 2mia fursa hii kujilekebisha 2mia muda wako kufikil ya jao kuliko kujifedhehesha inshaallah allah atakufanyia wepes utaacha amin🥺🥺
2026-08-20 04:50:00
2
Ismaka Kalinga :
pole kipenz chang
2026-08-20 04:31:09
1
Zaylisah Msuya :
naomba nafasi me nakupenda
2026-08-20 09:47:46
1
ruhymummy :
allah akuongoze
2026-08-20 13:23:53
1
Dayanna💝💝 :
njoo uwe wangu
2026-08-20 09:17:06
1
pretty munah💗💕 :
fay acha bhana😳
2026-08-19 23:29:45
1
janethkemilembe95 :
nakupenda
2026-08-20 12:32:50
1
aisha :
kweli mapenzi yanauma sana kuna mda unatani usipend karib kwangu
2026-08-20 09:54:45
1
zaidatu :
hapna kaka angu acha hay mambo kwa ajili ya mwenyezimungu kumuomba mung ndo kila kitu
2026-08-20 05:31:50
1
Zaynab :
we fay sio sahh jmniii
2026-08-19 21:13:15
1
🌹rumaysa :
apana kakangu plz acha Kwa ajili ya Allah plzzz nakuomba plzzz
2026-08-19 21:08:48
1
SOPHIA KHAMISI ♥️ :
pombe so suruhisho broo usinywe pombe
2026-08-20 10:18:57
0
💞mrs y💞❤️b😜🤪 :
kwel maumivu yanafanya sehem mbay kua nzur lkn pia kumbuka itajenga mazoea milele na itakufanya upate hasar nyingi nying kwanz kwa allah pekee hapendezw nalo pili kwa binadam 2naokuzunguka wa2 watakujengea zalau kumbw kuliko heshima ya mwanzo pombe si k2 bora cha kupoteza mawazo badilika muslam mwenzng allah hapendez na unachofanya kumbuka unae muwaza na kukufanya uwe ivo mwenzko anafurah ana enjoy na mapenzi yake mapy badilika swahibu zipo njia nyingi za kutow mawazo lkn so pombe utaishia kuugua mana so nzur kwa afya ye2 acha 😢😢😢
2026-08-20 04:46:05
2
janethkemilembe95 :
nakupenda nielewe
2026-08-20 12:32:17
1
Zaylisah Msuya :
usinywe mi pombe hivyo FAY
2026-08-20 09:47:26
1
ruhymummy :
kua shujaa kwa kuishinda nafsi ambayo inakuangamiza huku ikukudanganya upo sahihi bro
2026-08-20 10:16:59
0
janethkemilembe95 :
nakupenda fay unavyo umia name ndo ninavyo umia nakupenda naomb nitakujali nitakuesh na kukufany uwe na fraah mda wote