Mr Ezekiel :
Yani nimebarikiwa sana na huu wimbo,,,ikabidi nimtafute huyu mwalimu wa kwaya ,,,yupo Congo,,,na Anasema wiki hii,,,jumamosi wanaingia studio ku record huu wimbo Audio,,itakua tar 22 Aug 2026.Tuwaombee sana hizi ndio nyimbo tunahitaji zinajenga ,,Zinatafajarisha,,zinakuvuta katika hisia ya uwepo wa Mungu
2026-08-20 08:43:01