@dr.owden20: Dalili kuu za kinga ya mwili kushuka. Sababu zipo nyingi ila sababu kubwa ni Maambukizi ya VVU 📌Kama hujapima: PIMA 📌Kama umepima na umegundulika una maambukizi ya VVU: TUMIA DAWA VIZURI NA WALINDE WENGINE 📌Kama umepima, kwa bahati huna maambukizi: JILINDE Je, ungependa kupata virutubisho vinavyosaidiana na dawa za kufubaza VVU kuongeza kinga ya mwili haraka? (Cheki inbox) ❤️‍🔥USIACHE KUTUMIA ARV KWA SABABU YA VIRUTUBISHO❤️‍🔥📌📍

Dr Owden (MD)
Dr Owden (MD)
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 August 2026 22:27:47 GMT
9102
244
18
15

Music

Download

Comments

agaenjali
Agae Njali :
asante kwa elimu dr
2026-08-20 04:49:41
1
mudathir.muu
MUDATHIR☘️MUU🇨🇦 :
nikwel
2026-08-20 06:23:21
0
winchester_mary1
Winchester Mary :
Mungu wangu
2026-08-20 05:21:12
0
yusuphyabijoh2
Shomary Abijoh :
hiii kushuka kwa kinga inatokana na HIV au
2026-08-20 10:54:19
0
moneyhunter1113
Money Hunter💸 :
dkt nikipimo gani cha HIV kinatoa majibu sahihi kwa muda mfupi
2026-08-20 08:41:14
0
user1429070247155
user1429070247155 :
mo ya simu dr
2026-08-20 16:55:51
0
raphaeljackson89
raphaeljackson89 :
Doctor umenisaidia sana mungu akubariki🙏🙏🙏
2026-08-20 14:40:28
0
user07839129
Beauty Jacob :
Asante kwa darasa Dr
2026-08-20 01:00:23
0
user3843426219587
user3843426219587 :
hizo mbona dalili za UKIMWI
2026-08-20 01:44:09
0
To see more videos from user @dr.owden20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About