@__.real_life: #manenoyabusara #jifunzekitu #maishayaukweli #manenoyahekima #ffyp

MAISHA_YA_UKWELI..✍
MAISHA_YA_UKWELI..✍
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 02:37:23 GMT
100980
11932
111
705

Music

Download

Comments

zaynabzuber
زينب🦋 :
Sisi wengine hatuna wallah tunalia tunanyamaza maisha yanaaonga Alhamdulillah 🥺
2026-08-20 16:37:43
35
samiphonestore2
SamiPhoneStore📱 :
daah mimi hata nikiangalia kushoto kulia hta hakunaa nabaki tuu naumiaaa
2026-08-20 17:25:12
55
duliwapili3
Abduli-karim Khamadi :
mm sina atawakumwambia mambo yngu
2026-08-20 06:12:33
16
catherineowino235
catherineowino235 :
mm niko na mungu,sina yyte
2026-08-21 17:36:28
5
veronicayusuph6
Nasrah✨🦋❤ :
nkiamka nkilia nkunyamaza akuna sina mtu wa kumwendea
2026-08-21 06:39:54
5
cosmeticsinoman14
Munira collection🇴🇲&🇹🇿 :
Kwaiyo nyie wote humu hamna Watu wa kuwaendea?😔😢 muwe mna kuja kwangu basi
2026-08-24 17:48:29
1
solder.maggie
solder maggie🥰🥰 :
😭😭mimi sina mama yangu hayupo nitamuendea Mungu tu sasa nitafanyaje 😭😭
2026-08-21 05:54:15
3
www.tiktojacky
Jacky ❤️ :
atuna tunaenda kwa Allah peke 😭🙏
2026-08-20 13:43:28
9
munah2529
🌸ts_Munaa🍒 :
Bestie angu Allah akulinde kwa ajili angu na Allah akupe tamanio la moyo wako🙏Amin amin
2026-08-21 17:17:07
1
rohohazifanani
time will tell 🙏 :
Allah pekeake ndo naweza kwenda kwake 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Allah Kareem
2026-08-21 15:22:26
1
user235398520774
my days💕 :
Mimi sina
2026-08-21 06:39:45
2
salymdev
Salym Mbise :
Mtu wangu wa kumuendea alishatangulia mbele za haki, Allah ampe kauli thabiti Mama Yangu kipenzi Amiin 18/11/2024 💔
2026-08-21 17:12:18
5
mohamed_matar32
mohamed_mata🇹🇿✨️T.W.R✨️ :
Allhamdullillah mimi kusema ukweli namuelekea Mungu na kuleta istifaghar tu🥰🥰🥰
2026-08-26 18:33:20
1
mungumwemakwakilamtu
❤️kipenzi @Mtoto wa papa🇰🇪 :
kweli mimi namwendea mwenyexi mungu
2026-08-21 16:27:54
1
user9125921437610
Aminah :
Sina hata wakumwendea nikiwa na stress
2026-09-13 15:47:48
1
fatmasukwa
Faah🦋❤️ :
😭🤌
2026-08-20 20:21:46
1
gaudencwafabian
G&H❤️💝 :
mama yangu kwakweli namshukuru mungu kwaajili yamaisha yake
2026-08-22 05:52:57
1
daley442
Da ley🥰 :
Allah awatunze wazaz wangu sina mwingne wallah
2026-08-20 20:53:39
1
fatma.mohamed3430
Health Coach Fatma :
tusokua nao loh msiba mkubwa😥
2026-08-20 19:20:35
1
pendomshana
user3433989850892 :
😢😢😢😢😢kwa hapa nilipo nasubiri wanangu wakue labda ndio nitawaendea ila MUNGU ndio wa kwanza kwangu
2026-08-21 05:20:35
1
nasra.mkumbila
Nasra Mkumbila :
mimi sina kwaker
2026-09-11 15:47:09
0
twalib47marine00
Twaha/ENGINEER :
ishallah mungu atanipa
2026-09-27 20:37:23
0
therealyyuulee01
buuda best 259 :
nipo mimi na mungu wallah
2026-09-25 16:42:18
0
unique_choice_nanalyto
unique_choice_nanalyto :
Wallah sina ata Mtu wa kumuendea yarrab allah anipe subra
2026-09-12 16:41:11
0
officialjenni20
officialJeny🦋♥️🥰 :
mimi Sina babaa
2026-08-20 12:27:49
0
To see more videos from user @__.real_life, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About