@setty_marketing: Kwa mahitaji ya Tickets za Yatch party wachekk @Mwanza_prime_events wapigie kwa namba 👉0764 443 700 (Muda wote) Bei ni 30,000/= kwa kila Kichwa! ------------------------------ Kwa Mahitajia ya T-Shirt za MWANZA ICON..! Naomba unichek Wasap au kawaida koja kwa moja kupitia 👉0657772070 (Muda Wote) T- Shirt ni 25,000/= (Mikono mifupi Tu) . . . #fypシ゚viral🖤tiktok☆♡🦋 #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ #mwanzamwanza #Vlog
Setty_Marketing🤳
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 04:58:53 GMT
Music
Download
Comments
ERNEST ERNEST🦺🦺 :
home sweet home
2026-08-20 19:12:51
1
happy💝💮💙 :
home sweet
2026-08-20 19:04:10
1
philly :
nice
2026-08-20 19:34:46
1
Abdon kanuda :
kahangara nikwetu
2026-08-20 20:08:09
1
Kevooo@ 124 :
nami napenda vibe unaonaje nikajoin hiyo jumamoc
2026-08-20 12:04:57
1
Ngosha :
daaah jama nyumbani kabisa
2026-08-21 10:12:30
2
Pascal lutalah jr💎 :
ILUNGU Niko hapa
2026-08-21 06:18:45
1
@Diophabi :
jina la uwanja unaitwa mwanankanda stadium
2026-08-22 17:44:17
1
balina kidai :
nmekaa kahangara nimecheza basketball hapo kwenye parokia ya kahangara hapo kwaheri mwanza ni home sweet home masanza kona
2026-08-21 11:18:36
1
de,real baddest ✨️81 :
lugeye secondary hapo ipo karibu na shule ya msingi ya salisima bro nimesoma hap lugeye sec chin ya head master elite safu mashenene
2026-08-22 06:21:00
0
James kabeshi :
hom sweet
2026-08-20 20:44:53
1
MALEMBO_STORE :
My home place nyanguge
2026-08-20 18:12:20
2
pascalsospeter7 :
jaman kahangara ndo kwetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 I love you kahangara
2026-08-20 19:04:58
1
being kbl💃 :
Magu home
2026-08-20 20:51:59
1
*ℛ𝒶𝒸𝒽𝑒𝓁🙏✨🌏🩷 :
na lamadi sio mkoa wa mwanza
2026-08-20 07:06:11
1
MR WOLF IN TZ🗣️🗣️👍 :
namm nahitaj nipo mecco
2026-08-20 19:10:27
1
Neema Zefania :
watu wa nyanguge tujuane asante ubarikiwe
2026-08-20 23:11:12
2
Naziri kiluja, :
Bro setty Nakubali
2026-08-20 13:15:32
1
Mhande Seleman :
mitaa yngu ya kaz ilungu
2026-08-20 20:13:38
1
kvanny4 :
Daaaaah kwa bibi ndo nilipo kulia
2026-08-21 21:24:07
2
pendomshilimu :
njoo na kwetu kijijini
2026-08-21 03:24:11
2
Mr.Black :
ila Barabara😂😅😅😂🙌🙌
2026-08-20 13:42:43
1
Rola fumbwe :
broo unajua sana naomba Leo uwaambie magu sio mwanza magu ni magu
2026-08-20 09:56:06
1
angle :
mimi apamewai kuishi ilungu
2026-08-20 19:33:39
1
official🥰suzyna🥰 :
umenikumbusha mbali ,nimeishi Ilungu🥰🥰
2026-08-20 16:09:09
1
To see more videos from user @setty_marketing, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.