Allah awahifadhi,awabariki awape umri mrefu masheikh zetu,awape udhabiti wa kauli
2026-08-21 06:46:45
1
cadabra9090 :
Allaah akuhifadhi ustadhi abuu saad
2026-08-21 07:28:30
1
Hussein Lugoda :
Jambo la mawlid ni jambo zuri na halina mushkil kabisaaa na Wala si kwa kumuweza sheikh nuuru ddiin kweny mjadala ndyo hoja kuwa jambo halifai ni suala halina mushkil kabisaaa kabbisa kabisa Yan
2026-08-23 16:13:00
0
أبو هِشَام السَّلَفِي- Hisham :
Masufi mtihani wallah
2026-08-22 05:02:39
0
clean heart :
مصيبة
2026-08-26 05:34:06
0
USTADH MUSSA BUNGA :
ALHAMDULILLAH ALHAMDULILLAH
2026-08-23 09:45:43
0
mafaz001 :
hukmu ya bidaa ni haram sio sunna kwa dalili ipi
2026-08-24 10:02:29
0
abubakarhussein :
Kama unamkubali kishkii weka kopa
2026-08-24 15:31:31
0
shabani :
hawanajambo hao
2026-08-23 11:46:20
0
speechGenius :
muulizwaji anasubra, maana muulizaji changamoto
2026-08-23 15:27:13
0
mudy shasha :
kwa kwel hawana hoja
2026-08-23 12:51:46
0
Raden khan :
Shegh Abuu saad Allah akulipe khery dunian na Akhera akupe umri mwenye manufaa tupate kujifunza kwenu inshaallah
2026-08-24 06:08:21
0
user4626528071491 :
kwa uweled wng hp nimeamini km maulid kun watu wamekaa wakaona sio vby kusoma maulid sio kwmba qur ani na mtume sw imesema inafaa watu walishiba wakatunga maulid
2026-08-25 12:32:05
0
Sparky matary :
Jamaa naomba tuekane sawa Kwa hay je maulidi ndio yalozushwa pekee
2026-08-23 19:03:18
0
zenji green :
Kakosa kutaja Ibada kataja Sala.Sala ni Mfano wa wazi kuwa ina mpangilio mwanzo wake mpaka mwisho wake.Hufanyi Upendavyo.
2026-08-22 05:34:59
0
Ally :
Kwani Lengo la Mijadala hii ni Lipi? Kama hawa wanapenda waendelee nayo tu. Na wewe usiyoyapenda maulidi si Uachane nayo. Lakini heshima iko palepale. Maana maulidi yataisha yataendelea.
2026-08-21 06:09:48
0
MOHD MOHD :
mauid ya tasomwa na yataendelea kusomwa vizazi had vizazi
2026-08-21 15:24:15
0
Abuu hudayr :
ujanja ni mwingi hawatumii
2026-08-20 05:22:12
0
hasanat :
Hahaha shekhe Allah akubariki hakuna swali hata moja alilo jibu Zaid ya uwongo na kumsingizia Allah na mtume wake Allah akuongoze ndugu
2026-08-21 19:36:36
1
Abu Uthaymiyn :
duuuh !! tanaakudh ya masufi
2026-08-22 08:20:55
0
Abuu Fa'aris ibnu husseiyn :
MAKHURAFIY NI MZIGO KWENYE DINI YAKIISLAM
2026-08-22 08:06:20
0
mustafa abdul :
ndo maana wanakatisha mauno
2026-08-26 04:35:20
0
To see more videos from user @abuu_saad_, please go to the Tikwm
homepage.