mw nna madume kama yote kwaiyo ndo nafikishwa kileleni eeee😂😂😂
2026-08-20 08:16:25
8
Salher🌺 :
kuanzia leo staki kilele😂😂😂
2026-08-20 08:49:08
4
Melosa Pelr :
Kuna mambo yanapotosha jamii sana, eti mwanamke anayefika kileleni ndio hupata mtoto wa kiume😂. Tafuta namna nzuri ya kuelezea . Kuna watu wanafika kileleni sana na wanapata watoto wa kike. Dr anasema kupata mtotonwa kiume inahitajika technique sana😄 sasa nauliza hivi ! Kuna watu wanazaa watoto wanabadilisha badilisha bila hata kujua techniqu. Vitu vingine ni Asili tu
2026-08-20 16:49:49
4
🎀PrincessBS💎🦋 :
Hi moms plz naomba kujuwa ety kufanya tendo after mwezi mmoja wakujifunguwa naweza beba tena ujauzito,hata kama sijaona period yangu ?
2026-08-20 19:38:49
1
💝😘 :
mm sijawai fika hko Kilelen na namiliki midume
2026-08-20 11:47:21
5
Zimbi :
why is 14 constant??
2026-08-20 07:25:49
0
veronicaemma45 :
nna boys 3 kwahyo nafikaga kileleni🤣🤣
2026-08-20 12:18:56
2
maryam :
mi mzunguko wang cku 28 nataka mtoto w kike Dr naomba msaada
2026-08-20 06:18:02
2
makileo kids collections 🙏 :
na sisi tunaorusha kojo jmn
2026-08-20 13:31:36
0
mam G :
ni mipangoo ya Mungu tuu
2026-08-20 15:42:53
4
queenty236 :
hichokipimo unapimaje
2026-08-20 14:40:46
0
raiyan :
na mtoto wa kike nae anapatikanaje??? Nina watoto wawili wa kiume mme wangu kaniambia nisipo mzalia mtoto wa kike atazaaa na mwanamke mwingine🥺🥺
2026-08-20 11:34:26
0
Scola Nyange :
😳😳😳Kwanzia leo ctaki kufika kilelen
2026-08-20 11:23:55
0
Pendo :
mm daktari naomba tuanze darasa wote tupate wa kiume
2026-08-20 15:18:53
1
Paulah💝 :
kumbe na mimi nilifika kileleni🤣🤣🤣
2026-08-20 08:39:56
2
Melosa Pelr :
Kuna mambo yanapotosha jamii sana, eti mwanamke anayefika kileleni ndio hupata mtoto wa kiume😂. Tafuta namna nzuri ya kuelezea . Kuna watu wanafika kileleni sana na wanapata watoto wa kike
2026-08-20 16:47:28
1
user6136708788222 :
Dr mrembo wewe mashallah yani nakupenda bure tu hua natuliaa kukuskiliza
2026-08-20 05:32:28
2
Ester Mburi :
kwan ovulation si ni ile siku yenye ute mwingi mzito?
2026-08-20 09:26:32
1
uwingeneye Shadia :
𝘥𝘳 𝘮𝘯𝘢𝘱𝘢𝘵𝘪𝘬𝘢𝘯𝘢 𝘴𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘨𝘢𝘯𝘪?
2026-08-20 20:14:35
0
magrina mwahi :
nifundishe kupa mtoto wakiume
2026-08-22 05:00:53
0
Shaky mumy@1921 :
ndo Mana kimenilamba Niko na boyz3😁 michezo ya kileleni hyo🤣
2026-08-21 06:50:52
0
sharifeabdallah80 :
mie nafika kilekeni maranyingi but nina watoto wa kike natamani wa kiume naomba nipe maelekezo koz
2026-08-21 19:00:52
0
lucy_.joh :
ni kwel kabisaaaaaaaa😂
2026-08-20 09:13:29
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.