mimi hata kuomba siwezi tena ninauzito usio wa kawaida
2026-08-20 15:35:39
19
hopelissa :
natamani kumtafuta mungu kama mwanzo lkn nguvu Sina kbs
2026-08-21 05:03:23
14
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU :
Powerful 🙌,
YESU ANATUITA ..
2026-08-20 20:33:43
6
JOYCE LYIMO (nara) :
🙏🙏🙏EE YESU NAKUOMBA NIEPUSHE NA ZINAA INAYOSANANISHWA NA HALI YOYOTE.😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-20 16:24:06
25
paulwilly :
nataka kuwa na roho mtakatifu nifanyaje
2026-08-22 16:12:16
2
Sancho. Jr255 :
amen pastor 🙏
2026-08-20 13:15:44
1
user110043757934 :
That's true 😊
2026-08-20 21:29:03
1
YUBAMZU :
mtoto mzuri ni yule pindi anapokosea hakimbii wala hajifichi bali hukubali makosa yake na kuomba msahama💯
2026-08-21 12:02:44
5
Kambaweyda :
ubarikiwe
2026-08-20 07:54:30
2
mug :
yeremia 3:12
Rudi, Ee Israeli mwenye kuasi, asema Bwana; sitakutazama kwa hasira; maana mimi ni mwenye rehema, asema Bwana, sitashika hasira hata milele.
2026-08-20 17:39:01
8
BETHY YTD :
bonsoir
2026-08-21 14:14:43
2
Lizzy :
Ameeen
2026-08-21 03:58:42
1
neyjr12 :
MUNGU wewe 😭😭🙏🙏
2026-08-20 06:40:44
2
sarahphina mallya :
pastor umemponya mtu Leo.....
2026-08-20 20:59:32
1
Rose Emmanuel Roseberry :
uishi milele
2026-08-20 08:59:53
2
Grâce gift :
Baba yangu 🥺,nina shida kubwa,nataka ku ongeya na wewe inbox 😭😭
2026-08-22 19:32:53
1
Rahima :
amen
2026-08-20 05:57:49
1
siphael 12 :
Amina
2026-08-20 11:38:21
1
jofrey. 97 :
sawa mtumishi nimekuelewa barikiwa sana
2026-08-20 09:31:28
1
HOPE Styles 🥼 :
Mimi ata kuomba siombi Tena tangu nimetenda Zambia
2026-08-20 20:48:34
1
Wa Juu sana 🏃🏃💪💪🙌🙌🙏 :
Maombolezo 3:22
Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii,
Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
2026-08-22 12:50:10
3
muema :
umenibadilisha sana Man of GOD
2026-08-20 05:52:28
1
JOHNSONF :
Sasa ntaenda kuomba au kufanya Ibadan wakati MUNGU hanisikilizi Tena maana wewe mwenyewe ulisema ukishazini MUNGU hawezi kukusikiliza Tena au nilete ule ujumbe hapa mtumishi?