kumpa akupae ni kuweka si kutupa.
na kumpa msikipae ni kutupa si kuweka🥰🥰
2026-08-21 04:28:57
2
di_Bruno :
Zanzibar sio Muungano bali ni fungu la visiwa 56 ikiwemo vikubwa viwili ambavyo ni Unguja na Pemba 🔥 duniani vinaitwa Archepelago yaani Fungu la visiwa vingi vinavyounda Nchi moja ila hakuna Muungano