@derene21:

🗡🔪nally🫡🫡
🗡🔪nally🫡🫡
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 05:48:15 GMT
647843
19966
498
513

Music

Download

Comments

mena_myco
WA CHUNYA 👑 :
jamani Trump si anunue Africa mi nipewe changu nitembee
2026-08-30 18:10:27
17
user8759800338146
Marry :
jaman tuuze nchi kila mtu apewe ela yake
2026-08-21 13:59:44
436
agnes.mutheu2
Agnes mutheu :
hii show wangefunga tu maana wanazalilisha sana,,
2026-08-22 11:28:15
233
fatmah72796
fatmah❣️ :
kikubwa nipaura kuwa na furaha hayo mengene zilipendwa ,.
2026-08-22 09:52:40
63
aisharam97
Aisha )🥰 :
Sasa watu wasitubu jamani nachoka mimi 🙌🙌
2026-08-28 05:22:52
11
zuhra2702
Zuhura :
Amna cha ajabu kwasababu ni reality
2026-08-21 13:14:41
48
happy19204
happydaniel949 :
hivi hii serikali ipo wapi
2026-08-21 12:58:36
15
mkabemezi039
Jovina George :
wanatubu ama🥺🥺
2026-08-24 10:40:33
10
crocheterdeja
crocheterdeja :
Mambo mengne hayana umuhim kabsa
2026-08-22 10:57:52
8
0jesusgirl
Jesus' girl💞 :
alafu watuwazima hao badala watujenge Wana fanya upuuziiii daaah
2026-08-22 16:37:05
42
anah78591
annajohnny525 :
mm Sina Cha kusema, Kwa sababu Kuna mengi yaja😳
2026-08-24 15:27:39
10
erodias42
Erodias :
Hiki kipindi sijawahi kukielewa. Ni kuaibishana tu. Tutasikia mengi na kuona mengi.
2026-08-21 09:59:09
43
user37428362906576
winfrida shango :
Mnakosea sana wanangu daa
2026-08-21 14:57:26
6
trevor.tz1
Trevor Tz :
Mastaa wa bongo Moves na wanamziki wa bongo kushare ni mtindo wao wa maisha.hao mishangazi wote wameshare sanaaa tu.
2026-08-22 08:58:59
28
bi_rehema
Bi_Rehema :
Mungu tuepushie😳
2026-08-20 14:51:03
6
user8808039933149
Peshy :
Iv niwaulize hiki kipindi kinahusiana naninii
2026-08-28 19:55:14
5
glama2003
Glads Masele :
sioni haja ya kufunga kipindi ni past na huwezi badilisha
2026-08-27 17:29:28
7
renea652
Amandareneah,😘 :
sikifutwe t hicho kipindi alafu ukwel kila siku unaumaaaaa sana yaliopita yapite tu
2026-08-21 08:12:24
11
baby.h973
H ❤️ :
mbona sijasikia jaman😳😳
2026-08-21 15:13:27
5
msdj_genz
@msdj_genz :
hawa watu wanakuja kugombana vibaya nahis haya mambo wameanzisha ndiyo mwanza wa kusambaratika mishangaz kwisha
2026-08-21 20:41:08
7
elizawainainz
kabessie :
they should change thos topic. ad focus on something else....hawa watakosana mbaya sana
2026-08-26 16:13:11
6
shonstylish22
user Shonstylish😍 :
Duh
2026-09-01 20:11:25
1
gikundiro.shema
mawuwa :
😂😂😂
2026-09-01 20:05:44
1
user6233410781258
mr mess :
dada unae soma comment yang nakupenda
2026-09-03 14:22:35
4
user8067527057233
user8067527057233 :
tobaaaaaa🙌🙌
2026-09-01 19:00:00
1
To see more videos from user @derene21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About