@happymarket.tz: Teeth Cleaner 🦷25000✨ Teeth Cleaner ni kifaa kinachosaidia kusafisha uchafu na mabaki yaliyokwama kwenye meno na maeneo ambayo ni vigumu kufikia kwa toothbrush pekee. ✨ Faida kuu: • Husaidia kuondoa mabaki ya chakula na uchafu kwenye meno • Husaidia kusafisha maeneo magumu kufikiwa • Inasaidia kuweka meno katika hali ya usafi • Rahisi kutumia ukiwa nyumbani • Perfect kwa kuongeza kwenye oral care routine yako 🦷✨ 📍 Dar es Salaam — Ubungo Mawasiliano Stand 📞 0786 546 444 #teethcleaner #oralcare #tartarremoval #teethcare #tartar