@prophetipm1: #congolaise🇨🇩🇨🇬 #usa🇺🇸 #kishasa243🇨🇩 #kenyantiktok #canada_life🇨🇦

PROPHET +255695146327
PROPHET +255695146327
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 06:23:21 GMT
150207
14129
235
1075

Music

Download

Comments

user50865278450972
pacheli katale🥰🥰 :
wangu anamaliza week 3bila ata message 🙄🤔🤔
2026-08-20 19:42:16
15
user571826104596
merry ✝️🙏🥰 :
Week nyingi usiponitafuta siku nzima hunipendi 😂😂😂😂
2026-08-20 20:28:00
17
dyder009
Born 1997 🌹 :
uongo wamezidi
2026-08-20 20:52:49
8
chef.hyune
chef Hyune♉️ :
ndo week jamn uko bize
2026-08-20 14:14:38
6
angel.cuttie7
Angel Cuttie :
na mbona mwanzo wanakuw wanapata mda w kuwasiliana?? lkn akikuzoea ndo ubusy unatoka wapi
2026-08-21 12:08:27
4
miss.dee9795
Miss dee❤❤❤ :
week !!!!!???? mi masaa 24 hajanipigia naliaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 19:44:16
2
adammathias411
adamMathias :
Kaka umeongea maisha yakweli kabisa inshallah 🙏
2026-08-20 20:05:18
4
mariathoamas
Mariathomas :
saivi Mimi atausipo nipigia kikubwa unanipa tyu hela😂😂😂
2026-08-20 18:17:15
9
neema8359
neema :
bwanaee mausiano n mawasiliano
2026-08-20 23:13:12
1
emanuelyendrew
emma :
Nataka mwanamke wakunielewa saa nikiwa bize anielewee nachukia kuchart kila saa kama madalali bhanaa
2026-08-21 10:53:28
0
olgah_nyathi_nyakach
Olgah Nyathi Nyakach :
jamani IPM 😂🤣 hio my bebe imenimaliza
2026-08-21 09:53:03
0
lilian.matungwa
Lilian Matungwa :
kuna wengine wana zarahau kwanini nikitumia namba ngenyi anjibu
2026-08-21 09:05:48
0
kaviradavid
David :
nikweli san papa. asante kwa ma fundicho
2026-08-20 15:35:15
3
carlopulisic
CARLO PULISIC :
tuna teseka jamani Wana ume
2026-08-20 19:16:22
3
veronica.jonathan6
mo jey :
😂😂😂😂😂 hii jaman duuh inanipa raha
2026-08-20 19:10:20
0
barakapatrick945
BARAKA PATRICK :
Amina aaaaa
2026-08-20 12:58:28
2
user3673258515019
ANITHA SAID :
mm week mbili kabisa
2026-08-20 19:50:31
1
user2573417239556
Sherry :
amen
2026-08-20 11:26:27
3
user2112591404056
user2112591404056 :
Kazi tunayo!!
2026-08-20 08:26:25
4
user2296545711631
Mercy :
sisi ndio tuko
2026-08-20 18:04:40
1
hadija.halima
Hadija Halima :
mm akinitafta sawa asiponitafta pia sawa akija sawa asipokuja aminaa juh kwangu hana muda na mm lkn kwa mwenzangu anaenda komaa
2026-08-21 07:42:53
2
user2938027374734mathi_6
@.Mathi_6 :
kweli bab
2026-08-20 15:27:21
2
aimererancec
Aimerance cirhuza :
Nimefarijika 🤚
2026-08-20 13:47:49
2
To see more videos from user @prophetipm1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About