@denzel_trainer: THIS IS ONE OF MY FAVORITE ARTIST, I CAN’T GO A SINGLE DAY WITHOUT LISTENING TO THEIR SONGS. @bnxn YOU ARE THE BEST BRO. Ninaamini siku moja ndoto yangu itatimia ya kupata nafasi ya kubadilisha muonekano na afya za watu maarufu nje ya Tanzania. 🌍 Hii itakuwa heshima kubwa kwangu na kwa sisi Wakufunzi wa Mazoezi wa Tanzania, tukionyesha dunia kwamba tuna uwezo wa kubadilisha maisha ya watu kupitia mazoezi na mpangilio sahihi wa lishe. Hakuna kukata tamaa. Hakuna kuruhusu maneno ya watu yakuzuie kutimiza ndoto zako. Endelea kuamini unacho kifanya. fanya kazi kwa bidii na fuata malengo yako. Siku yako itafika!🏋🏽‍♂️

DENZEL TRAINER
DENZEL TRAINER
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 06:23:50 GMT
8591
509
5
5

Music

Download

Comments

petro.msemwa
Petro Msemwa :
yes pamoja kiongozi,nakukubali
2026-08-20 08:10:29
0
mr_fit15
mr_fit💪🇹🇿 :
Mdogo wangu mwambie jamaa namkubali sana nimefulahi sana kukuona nae mdogo wangu 🫡🫡🫡
2026-08-20 06:51:57
0
shoes.v1p30
V I P SHOES 👟 :
2026-08-20 11:50:34
1
jaydenmom525
Jayden'smom :
🥰🥰🥰
2026-08-20 06:27:49
0
To see more videos from user @denzel_trainer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About