@_zuzaism: Part 186 | Tunazungumza juu ya ukimya kama asili ya uwepo wetu na jinsi tunavyopoteza amani kwa sababu ya mawazo. Tunakuhimiza ujiulize swali 'mimi ni nani?' ili ugundue kuwa wewe si akili wala mwili, bali nafasi isiyo na mwisho. Ninatoa mwaliko wa kujiunga na kundi letu la Epizura Circle na kupata vitabu vyetu. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #silence #peace

zuza
zuza
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 12:00:00 GMT
5584
654
15
12

Music

Download

Comments

romanticboe3
💕Romantic boe 💞 :
am the first one 😁😁😁
2026-08-20 12:14:31
5
mr_everything_furniture
Mr everything furnituRe :
nauza furniture maboss zangu kalibuni sana
2026-08-20 13:08:30
2
christopher_musa
christophermusa81 :
Asante sana Mwalim 🙏
2026-08-20 14:21:15
2
chazsolomon
Chz one :
😁 bro ktkt hili unalofanya pengine kuna ukweli halisi lkn nachojiuliza ni kwamba hakuna historia wa watu🤫 wengine waliokuwa kama wew hapo kabla ktk kitu unachokifanya je🤔?wameishia wapi kama wapo na kam hawakuwepo nipe uthibitisho🤔
2026-08-20 20:23:42
3
johnmihayo185
John Mihayo :
Nimekuelewa brathar Suza..Mungu akubariki sana naakupe maisha marefu..
2026-08-24 11:28:44
1
kijiti_
Kijiti_ :
MIMI NI NAFASI ISIO NA MWISHO ### ASILI NA WALIMWENGU 👁️
2026-08-20 17:42:49
2
marxdollars
marxdollars💰 :
always you teach something new
2026-09-19 14:07:32
1
user9625832386591
phantom sleight ♣️♣️ :
real
2026-08-22 09:48:59
0
user3861871136512
cosodo :
najaliibu kuku elewa lakin Kila napofika mwisho naona Pana mifumo wa biashala yakukomboa watu ?
2026-08-21 00:13:35
0
nizo_thelastborn
NIZO_the LAST BORN 🌱 :
👍👍👍
2026-08-20 22:32:30
1
faizakessyb7
Faiza Kessyb :
🙏
2026-08-20 17:38:18
2
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About