@laughs_on_leonardo: Yamenikuta Dah🥹🥹🥹😂😂😂😂 🔥⚽ NEW FOOTBALL SEASON IS BACK! 🔥 Premier League 🏴🇬🇧 inarudi 21st August Ligue 1 🇫🇷 inarudi 21st August Serie A 🇮🇹 inarudi 22nd August Na habari njema zaidi? 😍 ZOTE ZINAPATIKANA NDANI YA DStv! 📺🔥 @dstvtanzania IT’S ON! 🚀⚽ 🎁 OFFER INAENDELEA! Decoder ya DStv sasa unapata kwa 15,000/= TU! 🔥 Usibaki nje wakati ligi zinawaka! 🏆⚽ DStv — IT’S ON! Cc: @_lu.ivan @iamkonkara @bi_agness 🎥: @jaykiporo @sixndale @boaz.niva Edits: @jaykiporo

Leonard Butindi
Leonard Butindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 06:48:43 GMT
218403
27657
465
786

Music

Download

Comments

mafaida.75
Mafaida 75 :
😁😁unajua nacheka kwann😂
2026-08-20 07:08:43
22
jofreyalphonce663
Alphazo :
Tunaovutaga hisia wenzetu wakiwa mbali tujuane hapa 😂😂😂
2026-08-20 08:12:58
135
focusshao286gmail.com
RoadMasterTZ :
ata kama ni Mimi nimwone baba mkwe ivyo kweli 😁😁😁😁😁
2026-08-20 09:47:42
40
user2583234722367
user2583234722367 :
niko hap
2026-08-20 10:28:32
0
presseszuuh
presseszuuh :
Samahani nimechekaa😂😂😂
2026-08-20 14:26:20
0
catherineelias06
Catherine elias 😍 :
baba yuleeeeeeeee 🤣🤣🤣
2026-08-20 14:06:39
0
realitybenn
🍏bennie 9pr0 Pike :
Hata kam ingekuwa n ww utacheka tu
2026-08-20 08:10:45
63
user7159206931987
user7159206931987 :
eeeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣baba
2026-08-20 14:47:04
0
jeremiagervas51
paulgervas :
mwenye control number ya deni la taifa wakuu naomba anisaidie, nataka nipunguze deni langu😶
2026-08-20 06:59:19
44
betty_crux
senorita💞💫 :
hata mimi ningecheka😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔
2026-08-20 06:55:54
14
magege150
ptm🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
me nisinge kaza kwa baba
2026-08-20 07:00:41
17
chalomkando3
chalomkando :
20/20 🥰
2026-08-20 06:55:25
8
ashley05668
🦋Ashley❤️ :
Baba Yule 😂😅
2026-08-20 08:12:47
1
shebykipozeo
sheby kipozeo :
🤣🤣🤣🤣 yamenishinda
2026-08-20 14:17:26
0
saidaty.omar
bint ommy🥰🥰 :
hata km ingekuwa ni ww ungecheka tu🤣🤣🤣
2026-08-20 09:35:13
11
dr.amani_herba_lclinic
Dr_amani clinic |+255761807647 :
Ata mimi ningecheka
2026-08-20 07:03:02
5
ney1j
ney1j🇹🇿 :
ety na mm nimejikaza nisicheke😂
2026-08-20 07:54:41
7
itsceo8
ÇËØ🎮🔏 :
wakuu munipe ushauli me Kuna kidem cha kimakonde ivi sas mm Nika sema nichukue no nikitongoze kikakubali bwan. Alf kikawa kama hakinizingatii sana nikasema ngoja nianze kutumia hela . kilikuwa kinatumia cm ya mkopo kila ukikipigia ukimuuliza mbona ulikuwa hupatikan ety cm ilizimwa sijalipia nikaona isiwe kesi nikamlipia 10k nikasema kabla 10k haijaisha niwe Nisha kila ila Bado hakiningatii kila nikikiambia tuonane hakina mda .siku mbili nakipigia cm hakipokei 🥲🥲🥲 hela yangu inaniuma jamn . wakuu nipen mbinu nifanyeje ili nimpate😭😭😭😭
2026-08-20 07:07:29
8
_samaf_1
Samaf :
ikifika like 30K nishtueni 💯💯
2026-08-20 06:58:30
9
addyboy_212
RAHMA :
leo kazi ipo
2026-08-20 09:36:02
1
bonifnnsmwm
bonifnnsmwm :
kwelii jaman usicheke hapaaaa😳😳😳
2026-08-20 15:51:11
4
dekhandeo
dekhandeo :
Tuliokimbilia coment
2026-08-20 09:26:02
2
shadya.odax
Shadya Odax :
me nacheka🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 08:53:54
2
albertnituze20
albertnituze20@ :
wavuTa hisiA wenzangu mko wapi🤣
2026-08-20 14:12:21
1
magreth.awarida
Maggie🦚🌹 :
binafsi baada ya kuona viatu nimecheka
2026-08-20 14:05:12
3
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About