jaman kama usingizi tu una noga vile je kifo itakuwaje
2026-08-20 12:00:07
86
Imhotep :
Dini zinaenda kukosa maana naona kabisa hili ๐
2026-08-20 12:19:20
108
mushauri wa rais :
Bwana yesu asifiwe wakristo wenzangu
2026-08-20 12:14:17
22
josiakabuka :
je kabla sijauingia huuu mwili nilikua wapi
2026-08-20 09:58:36
22
Dalia beauty palace :
uyu unaemuona wewe sio wewe. wewe unaweza kuishi bila wewe na wewe ndio unaupa wewe na wewe sio wewe kwani wewe unasemaje????๐ ๐ ๐
2026-08-21 11:08:55
30
Hashim Hamisi :
pepo na moto vipo au akuna?
2026-08-20 14:47:50
13
๐ฅฐVant@yanaa๐ฅฐ :
au me nijalibu Alf nije niwasimulieee ety
2026-09-04 18:28:58
7
royalwedding_highlights2023 :
UKO SAHIHI SANA , ILA KWA JINSI WALIVYODANGANYA WATU NI UNAHITAJI NGUVU YA ZIADA SANA KUWAELEWESHA WATU
2026-09-27 13:13:23
3
Blessed Mom๐ :
kwanini tunaogopa kufa utakuta hadi mtoto mdogo huogopa kufa sababu nini?
2026-08-20 10:28:35
25
SHANGWE :
Ndo maana mimi sinunui gari sababu mwili ndio unaendesha gari na mwili utakufa.
2026-08-20 08:30:30
21
KAZ HOKO 1914 :
sas mim nimetoka wapii?
2026-08-20 11:48:58
4
BaJopara :
Sasa mbna ujaeleza tunakwenda kuish wap?
2026-08-20 14:17:53
6
Chef Jb๐งโ๐ณ :
Sisi tulioamka kutoka usingizini tumekuelewa sana tu๐ซก
2026-08-24 09:59:25
15
FredB๐ :
malizia ndugu yangu Wala hakuna Cha moto wa jehanamu Wala azabu make Kila unachokiona kilikuepo sikuya mwisho nikifo Nandio sikuya Kwanza kuzaliwa upya Tena akuna mwisho wa Dunia Wala mwanzo wa Dunia tunazungoka umu humu tuu
2026-08-20 08:35:39
8
Julay nicholaus :
saf kabisa umeongea jambo ambalo hata mm nilikuwa nafikilia
mwl mzuri ni yule anaetoa mifano ili mwanafunzi aelewe vyema,sasa embu tupe mfano wa mwili uliokufa na nafsi yake inaendelea kuishi na unathibitishaje hilo?
2026-09-13 15:48:32
0
Gentil business :
Mbona kama jamaa kaongea Kweli ivi๐ณ
2026-09-04 12:12:36
0
DERICKโ _๐ฆ_mwanza. icon :
tuliokimbilia koment bila kumalizia video tujuane
2026-09-05 19:20:01
3
noahvisualstz | Director :
POLE KIJANA ILA POTOSHA WASIOPENDA KUSOMA NENO LA MUNGU WANAONGOJEA UWADANGANYE . UKUMBUKE TU KUWA MUNGU HADHIHAKIWI .....NA ANAKUSIKIA WALA USIJALI ENDELEA NA KAMPENI YAKO
2026-09-10 15:53:17
1
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.