@jesus..son: wangapi wanakubaliana na hii😂😂😂#creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokviral #wisdom #fyp

Kingdom Wisdom
Kingdom Wisdom
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 06:56:13 GMT
24752
1598
60
173

Music

Download

Comments

dafrosa33
Be smart always :
Aliiwahi niambia achana na huyo kijana nilimwacha ila nilipopata wapili alisema huyo baki nae atakuoa tu na ikawa ivyo
2026-08-20 11:22:17
8
chunyaphotoshop
Bruno david :
ikiwa umeokoka kweli ndoa unaijenga mwenyewe maana kumbuka adui wa mtu ni yule wa nyumban mwake so mzazi kama nimshilikina hawez ruhusu uolewe na asie mshirikina
2026-08-20 15:01:56
7
user3090163296179
Nailath :
ni kwel yan mama anaonaga mbali
2026-08-20 10:07:04
3
itiqa_collections
Itiqa_collections :
No thank you🥰📌
2026-08-20 09:22:17
2
ladynaa47
Dee_decor tz🇹🇿 :
Hii Niko na ushuhuda nayo
2026-08-20 12:50:53
2
pasquizer_tz
Pasquizer :
Niruhusu mzazi anichangulie mwanaume
2026-08-20 12:32:11
2
subira.lune
LUNE NOELLINE :
najuta kwanini sikusikiyaka shauri ya bazazi
2026-08-20 10:56:42
2
mabamba443
mabamba :
baba na mama ndo watuwako waukweli katika hidunia
2026-08-20 08:50:29
1
amorina.202
𝓐𝓶𝓸𝓻𝓮 ♡ :
Aaaahn wazazi hawa hawa au prophet 😂😂😂
2026-08-20 07:48:19
2
user1768561706310
prinses sasha🤑 :
kanisa lipo wapi
2026-08-20 07:28:09
2
mariamu.nkungu
Mariamu Nkungu :
Mume wangu aliambia ishi na huyu na mwanamke ni make wa ujana wako akanikataa akasema hapendi ni mbaya akaniacha na mtoto moja kwa sasa huyo mwanaume hajoa na ana miaka 51 anatanga na dunia
2026-08-20 13:13:59
1
ezekielkihamba
Ezekiel Kihamba :
amina
2026-08-20 07:16:50
1
dotouser2841944184461
#love😘 :
amen baba
2026-08-20 07:20:59
1
bizzo_official1
bizzo_Art :
@Qamati
2026-08-20 13:17:34
1
mrinal.himid
mrinal himid :
kwel kabisa
2026-08-20 13:11:56
1
user1140526193750
user1140526193750 :
siyo kweli na inaweza kuwa kweli
2026-08-20 16:23:38
1
eshamasha3
Malika :
Mamangu alichagulia bibi bro nasai sijui wanamiakangapi hawaongeleshani hata nahuyo mkazamwanawe😅😅😅😅
2026-08-20 13:09:11
1
zawadimussa615
zawadi Thomas ngozi :
sio wa leo wanawawekq watoto wao kwa wenye hela
2026-08-20 13:04:42
1
elmeldaoyaro
Elmelda Oyaro :
mimi mamaangu aliniambie hajana na huyo na sikusikia leo hii ndio naamini kwa nn mama aliniambia wakai
2026-08-20 13:03:28
1
ellymagari
Elly Katole :
mimi mama aliniambia nioe binti flani nikakataa, nikachagua mchumba mwenyewe uchagani huko, marehem baba yangu akakataa nim mbebeleze aniridhie tu, baadae nikachumbia, nikaoa ndoa imevunjika April.2026 Nilipoonana na mama, akanikumbusha, nikamwambia ilishatokea ila nimekubali
2026-08-20 15:02:42
1
malaikairene
malaikairene :
🙏🙏🙏
2026-08-20 12:36:17
1
nono.fashion1
Nono Fashion :
Saw baba 🙏
2026-08-20 11:50:26
1
oswald.chacha
Oswald Chacha :
mke mwema utoka kwa Bwana
2026-08-20 11:37:25
0
khadijamerisa
Khadija Merisa :
hakika
2026-08-20 11:03:09
1
sange.solomon
sange Solomon :
kwel Baba
2026-08-20 10:17:22
1
To see more videos from user @jesus..son, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About