Mnatusema Sana kwani si tushawai waongelea popote pale????
2026-08-20 17:07:25
42
~IJAY🥰 :
bro unaniongea 😳😳
2026-08-20 17:37:56
0
Ne-Yo TZ 🌏 :
Amen jobless mimi 🥺🥺🥺
2026-08-20 12:40:16
0
Minnah muddy@68 :
Nipo nyumban natumia wi-fi bure me uwa siamkii kabc yaan nashinda kwa kitanda na sina kazi na maisha yanaenda na Nina mchezo 😂😂
2026-08-20 11:53:16
85
✨💙 NAT- NAT 💫💦 :
I was unemployed four years sijawahi amka saa tatu, niliendelea same routine yangu. Sikukaribisha depression not sure which unemployed you are talking about.
2026-08-20 14:31:18
1
Happie Momáh🥰☺️ :
Mwanaume atakayegusa comment yangu namtongoza 😂🖐️
2026-08-20 16:57:31
15
lissah ford :
Aliepo Dodoma aniambie tukatafute kazi😂
2026-08-20 16:29:56
12
Jacque🌺 :
🤣🤣🤣tatiz ajira hakun bro
2026-08-20 13:29:46
15
Pamelah Kwayu :
sasantaamka niende wapi na sina kazi??
2026-08-20 11:50:59
36
𝐌𝐉 𝐁𝐀𝐍𝐊𝐒 🍿 :
Bhn we tunaamkaaga sa 7 mchana
2026-08-20 15:36:10
27
jojo_drama :
Ndio umeamua uje uniseme huku 😳😳
2026-08-20 09:14:40
40
Latifah_unique :
Ni kweli kabisa uyo ni mimi miaka9 iliyopita Nawaombea wote wanaoishi ivo Mungu awafungulie milango wapate kaz
2026-08-20 11:31:10
17
♡𝓘𝓽’𝓼 𝓡𝓪𝔂𝓪𝓱♡🔐✨🦋 :
Jobless nipo nakuangalia huku nimelala
2026-08-20 16:43:49
6
Greyc Business👜 :
Sisi wa tap tap the screen tupo wapi?
2026-08-20 12:55:49
7
zukic' :
hapo kwenye kuomba hela ni uongo mzee baba sio wote tupo ivo
2026-08-20 15:35:51
5
Bravo,s babe🌸❤️ :
Sio mm an nawah kulalaa nachelewa kuamka naamka nakula nakaa na sim yangu weeeee nakula nalala Tena nkimaliza naeza nkafanya usaf nkimaliza nalala naomba omba bando napata natumia simu weeeeee usiku unafka nakula nallala 😣🤥
2026-08-20 08:54:29
16
sweetrine🦋🦋 :
huyu nimim nashukuru kwa nisema
2026-08-20 07:16:50
17
CHIC QUEEN_COLLECTION :
Me siamki hadi saa 8 mchna na nipo nyumbni natumia wfi ya bure nakula bure na sina stress 😂😂
2026-08-20 12:38:11
9
DiceDPM :
ulijuaje yote??
2026-08-20 07:46:18
9
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.