@abt__media: #HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamshikilia Fahadi Bakari, maarufu Matala (34), Mkazi wa Masasi, Mtwara, kwa tuhuma za kujifanya Afisa wa Polisi, usalama wa taifa na Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), na kutapeli zaidi ya shilingi milioni 36.6 kwa ahadi za ajira. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, Kamishna Msaidizi wa Polisi, John Imori ni kwamba mtuhumiwa alitapeli mzazi mmoja shilingi milioni 28.8, mwingine milioni 2.8 na wa tatu zaidi ya milioni 9, akidai angewasaidia watoto wao kupata ajira katika taasisi mbalimbali za Serikali nchini.#HUDUMA_ZAKIFLME_BEI_ZA_KIZAWA #abtmedia #abtfilm #abtsupercup2026

ABT MEDIA
ABT MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 07:14:56 GMT
75097
1279
44
94

Music

Download

Comments

migoha
migoha :
Mimi naona kumtangaza mtu wakati mahakama haijatoa hukumu ni kama kwenda kinyume na utaratibu hivi akija kushinda kesi mtasemaje?
2026-10-15 07:06:18
2
chanunga.fr.finis
CHANUNGA FR & FINISHNG TERRAZZ :
sio mbaya mtu ukiamuwa kiajili uko
2026-10-16 19:04:40
1
stevb336
stevb :
Hao walio mpa pesa ili wapate kazi nao wakamatwe maana kazi nakutoa pesa ni utaratibu gn
2026-10-15 10:53:32
1
fortunata.nzelan
Fortunata Nzelan :
wapo wengi na wengine wnajjita makanali na vitambulisho vyao ni tisheti za jeshi aisee
2026-08-20 18:16:18
2
ruqayya.bawazir
Gorden rizick :
mtu kajiajiri vizuri mnamuhalibia ajira duuh
2026-09-03 12:57:51
1
kadigaali447
Kadiga Ali :
mbona bado mdogo,kazi anazozifanya ni kubwa.
2026-08-20 10:12:49
0
mzeejuma978
Shankar :
anatoaje milion 28 c angempa mtoto wke kama mtaji aa sio kweli ban
2026-08-24 05:40:10
1
agnesimwanyika6
bg bos :
mpenzi kazi
2026-09-02 06:23:55
1
smartlife.electronicstz
SmartLife Electronics Tanzania :
Kiki
2026-09-17 20:42:11
0
abubakarseleman24
mawigi :
ivi walioiba feza za wananchi CAG ALIOTOA MMEKAMATA WA NGA P
2026-09-22 09:30:55
0
dmroupe
Tz🇹🇿🇹🇿 :
Mjini michongo ni mingi tatizo police
2026-08-21 07:30:29
0
user6182967230134
gida kinjara :
mpeni.kazi.kaipenda
2026-08-21 13:02:13
0
adercombie
Khal :
mwanangu Ayubu😅
2026-09-05 13:51:06
0
abbynuss
Abby jaguar :
ila dodoma
2026-09-27 06:32:16
0
said.manjonjo
Said Manjonjo :
muneshemi tumuone sasa mbona mnamficha
2026-09-21 13:01:28
0
jaxcmv7
Jackson J. Marko :
Sasa mtu si kajiajiri
2026-08-20 08:42:19
2
chanunga.fr.finis
CHANUNGA FR & FINISHNG TERRAZZ :
bado sio tapeli bar ni mwana harakati
2026-10-16 19:05:51
1
smartlife.electronicstz
SmartLife Electronics Tanzania :
Safi sana
2026-09-17 20:41:27
0
majaliwa170
majaliwa17💪💪 :
#Duh.MUNGU aendele kufichia🙏🙏🙏🙏😭
2026-08-20 10:17:10
0
petro.julius
Petro Julius :
watekaji mbona hawakamatwi kwanini polisi iv sisi tuwaelewaje watwo wanatekwa wengine wananusulika sijawai kuona mnatangaza hapa watekaji
2026-08-21 04:11:12
0
roswe90
Roswe Caleb Samburu :
tanzania watu wengi matapeli unasikia mimi ni mtu wa kitengo 🤣🤣🤣
2026-10-16 19:43:41
0
tzs2285
Tzs :
atuwaqmni
2026-08-20 07:22:54
0
mzeejuma978
Shankar :
mpak unatoa mil 28 bs iyo familia ipo vzr na haina shida ya kutumwa na serikal
2026-08-24 05:40:39
1
kambigx
male seeker :
mpka 500
2026-08-21 04:15:51
0
winfridah683
Lissah TZ :
hongereni kwahilo, ila isijekuwa Gnz mmeamua kumuangushia jumb bovu
2026-08-20 10:57:41
2
To see more videos from user @abt__media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About