@breezt4: Askofu Mkuu Jude Thadaeus Ruwa'ichi, OFMCap "Zamani nami nilikuwa kijana wa Tanu,Tulifundishwa kuwa Uongozi ni Dhamana, Je katika Zama zetu hizi, Uongozi ni Dhamana?" #breezonlinetv #KanisaKatoliki #news #Tanzania #Nairobi #mkombozicommercialbank #BaloziwaAmani #woisooriginalproducts