@shuyukh_salafiyyah: MAULIDI||SHEIKH SAEED BAFANA #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #mombasatiktokers #sheikhsaidbafana #sunnah

shuyukh_salafiyyah
shuyukh_salafiyyah
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 20 August 2026 07:37:04 GMT
92925
12085
262
924

Music

Download

Comments

muslimsofkasarani
MUSLIMS OF KASARANI :
you may think you are winning but you are dividing your own Muslims brothers and sisters on your own speech, let those who celebrates it be , there is no Haram to do maulid
2026-08-24 20:59:14
3
dahlia25052
Oceanic :
kwanza in Mombasa town that nonsense really messed with traffic and matatus hyping the prices and for what???
2026-08-24 16:51:19
0
user7606407634077
user7606407634077 :
I used to love and listen to this sheikh but yow😏ok let’s say they go there because of food….is it not a blessing to feed poor people? In the name of our beloved rasul s.a.w❤️
2026-08-25 21:14:13
0
abbas_collection
abbas collection :
Whoever brought this maulid thing really messed up the ummah
2026-08-25 14:10:35
1
kingfahad639
kingfahad254 :
Hakuna Kabisa Maulidi Katika Uislam Bida'ah.
2026-08-20 18:53:54
62
sime67360
sime :
thanks sheikh
2026-08-25 11:38:30
0
muslim34537
Muslim :
Tatayasoma mpka kiama kitasimama
2026-08-24 11:53:23
6
najmahassan5135
najmahassan5135 :
Toboa ustadh. ukweli mtupu. mungu akujaalie kheri.
2026-08-22 15:18:09
15
abubakarjamalulleyl
abubakarjamalulleyl :
tukifanya mara moja wanasema tumezua eid katika uislamu, tukifanya mara nyingi maneno ni haya, sasa mwatakaje? mwakereka watu kukusanyika kwa ajili ya mtume s.a.w! ama kuhusu kulisha: neno la kwanza mtume s.a.w alilolisema alipoingia madina: ENYI WATU LISHENI CHAKULA.... kulisha ni sadaqa kubwa na muhimu kuliko hata kujenga msikiti
2026-08-20 11:07:57
15
ahmad.al.maawy
Ahmad Amana :
brother umeongea makosa makubwa Sana
2026-08-20 10:37:12
5
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
twataka kumkumbuka Mtume wetu... na Kula NI kivuto ya kuleta watu wafundishike mwendo WA Mtume wao
2026-08-20 10:42:45
6
ummukhamis62
UMMUKHAMIS :
nnlikua nikimfatilia sana huyu sheikh ila. kwa haya maneno aaaah!!! Hapana kwa kweli
2026-08-20 23:29:45
7
peteri506
Peteri :
🥰🥰🥰🥰🥰hakika kama kutokufanya maulidi ni dhambi wacha motoni nitaingia ila maulidi sifanyi
2026-08-20 16:18:36
6
001sky67
001sky :
Kama maulidi no bidaah, hamburger na pizza piya ni bidaah
2026-08-21 08:51:07
2
bug.man39
bug man :
maulid huyawez usijisumbue
2026-08-21 03:02:12
6
mshamata21
mshamata :
nataka niwaulize je sherehe haifaki ktk jamii na kama haifai nishereh yoyote au n maulid tu
2026-08-24 21:19:21
0
user7049466248037
hammy :
sasa sijuwi mgawanyo wa tawhidi mume pata wapi ni mpango tu wa kututoa katika msimamo
2026-08-22 14:04:18
1
fatmaally291
ALIY ALIY :
shekheee sasahivi hakuna mashekheee ulafi hiyo nikweli mashekhe walaf
2026-08-25 16:57:52
1
ukinipasisemi1
Bin Ramadhan :
shekhe wacha maneno kama hayo
2026-08-22 15:52:31
0
zuberikapitu
Zuberi Kapitu :
achan nasisi
2026-08-24 03:44:50
1
adam_kapaya_jr
Kapaya Jr. :
Hii ndo hawataki kusikia kabisa😂😂😂
2026-08-21 11:40:12
2
belling754
jude :
uzush kwenye dini atakama nijambo zur halitakikani
2026-08-21 06:37:33
3
farookali557
Faroukhan mbwembwe :
babake mwenyewe alisherekea kuzaliwa kwa mtume.
2026-08-25 02:09:17
3
salimali1043
salimali1043 :
maulid tutasoma nakula tukipewa tutakula na Wala sinjaa inayotupeleka maulid nakula tunakula tangu tulipozaliwa nakushiba na baadae njaa unakushika Tena naunakula Tena
2026-08-22 09:46:39
4
user25297127760546
mama aliy :
shehe usijitie kwenye mambo ya hitilafu
2026-08-22 16:02:13
3
To see more videos from user @shuyukh_salafiyyah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About