@zouiurembo: ✨ VIKUKU VYA MIGUUNI — NEW STOCK ✨ Material yake ni STAINLESS STEEL, imara na nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. Zipo single, double na triple, pamoja na zile design nene kwa wanaopenda style ya kipekee. 💎 Vyote vina adjust, hivyo unaweza kurekebisha kulingana na size ya mguu wako na kuvaa kwa urahisi. 💰 Jumla: Tsh 7,000 kwa pair, kuanzia pair 3 — unaweza kuchanganya design unazopenda. 📞 Order/WhatsApp: 0650611801 📍 Tunapatikana Kariakoo, Congo Stendi ya Daladala. 🚚 Tunafanya delivery na tunatuma mikoa yote ya Tanzania. 🔥 Wafanyabiashara, hii ni stock nzuri ya kuanza nayo — toa order yako sasa!
Zoui Urembo
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 07:37:58 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @zouiurembo, please go to the Tikwm
homepage.