One day I need to have a real talk interview with you Lilian I really love you and follow your episode from Nairobi Kenya 🇰🇪
2026-08-20 11:40:12
1
hawa💥💯🇹🇿 :
Fact pont 🥰🥰🥰
2026-08-20 09:45:11
0
sweetnoory :
sikuwahi kufikiria km kuna mtu anaweza kuongea point km hii leo ndio nimesikia kutoka kwako my dear thanks alot
2026-08-20 13:59:28
8
Faraja J3 :
waoooooo♥️♥️♥️♥️
2026-08-20 12:41:58
0
humble girl :
dada lilian sorry unaweza nisaidia maana ya jina lilian
2026-08-20 11:41:20
2
sendemo_og :
2026-08-20 12:06:45
1
RedEaglee-tz🦅 :
rafiki wa kweliii ajui kukukaguaa true that cic ❤️
2026-08-20 10:27:51
3
Diplomat :
Fact Sinaga mda huo wa kuwaridhisha watu wote Hata akute nn mm freshi Tuh 😅😅😂😂
2026-08-20 11:30:40
3
mysoul :
nakupenda dada Mungu akutunze🥰
2026-08-20 14:15:39
1
ellahmsese :
wow saw kabisa
2026-08-20 23:17:05
0
meckmeck :
fact
2026-08-20 19:37:23
0
user1246574381528 :
Asante dada🙏🙏🙏
2026-08-20 20:58:45
0
Miss Nayah💞 :
Asante
2026-08-20 09:10:49
1
Esmeralda :
kabisaaa
2026-08-20 19:03:14
0
leyla :
dada nakukubali sana naomba no yako please 🙏
2026-08-20 18:57:58
0
zulpher cute😘 :
Asante sana na huo ni ukweli kabisa
2026-08-20 18:06:53
0
Tesha Rockstarr :
Wow!
2026-08-20 16:59:28
0
hidaya001 :
nikweli dada Mimi nikiagizwa ndani kwamtu kitu maranyingi hua sikioni atakama Kiko karibu kwasababu sio mpekuaj wavtu ila Kuna mtuu unamkaribisha hata ujui wake unakua Bure Toka anaingia macho yake tuu hayatulii mpaka anasahau kilicho mleta anaondoka nalinginee
2026-08-21 00:20:33
0
Epa888🐥 :
hekima na iendelee kumiminika juu yako kwa jina la yesu 💞
2026-08-21 00:57:07
0
zuhreen23 :
kabisaaa
2026-08-20 18:09:55
0
Mercy Alois :
hayo uliongea yanatasfir nying sanaaa namba nyingne nilioelewa hata mtu akikupenda hawezi kuona machafu yako au unavaa nn wala mahali unapoish in short mtu akiwa ni wakwel kwako hatoona madhaifu yakooo
2026-08-20 18:17:12
0
To see more videos from user @lillianmwasha, please go to the Tikwm
homepage.