@hubofwisdom.inc: Usijichukulie hatua mkononi... ikitokea mke wako au mume wako amepekua simu yako kinyume na utaratibu kamshaki kwenye vtombo vya sheria. Elimu ya Sheria kutoka kwa afande imeeleweka -------------------- #thewisetz @hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Region: EN
Thursday 20 August 2026 08:58:35 GMT
Music
Download
Comments
Ashura Hassani :
tutashinda police sasa maana uo wema me sina
2026-08-20 16:38:16
46
Rachel Mussa :
hyo fain itanihus
2026-08-20 17:16:36
0
caren1014 :
najiona kwenye hii fain kbs😂😂
2026-08-20 15:02:20
51
my lindah🥰🥰 :
jaman mnisamehe tena akilala ndio kabisa uwo uvumilivu unanishidanga jamn
2026-08-20 14:18:48
27
bby j :
mmmmmh
2026-08-20 17:05:59
0
tatalo6 :
Sasa wanapoambiwa wamekuwa mwili mmoja maana yake nn?
2026-08-20 09:28:44
14
julyaahChogga :
national jera😅😅😅
2026-08-20 17:15:48
0
Jessy collection🌹 :
Sasa hpo mnataka nifungwe maisha 😂😂
2026-08-20 18:17:02
5
kadabr :
😂😂😂wambie awo ulio kaa nao apo kwanza
2026-08-20 18:10:24
5
zulpher cute😘 :
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
2026-08-20 17:16:57
0
David :
vyema mngesema ukichiti jera miaka miwili
2026-08-20 16:41:23
2
mwaka hamiss :
serikal imeanz kutangaz na kueneza uwesherat na maradhi katk ndoa nafamilia kutawala namaradhi kitend ambach sisaw
2026-08-20 17:37:15
6
@LEE_GAL_TZ_ :
Me nae njoeni mnifate siwez acha shika😂🙌
2026-08-20 13:20:21
2
sasha :
Mimi mtanifunga hela iyo sina ya kulipa
2026-08-20 19:10:38
1
Anna Andrew :
kwa kesi kama izo mi hata kwabalozi hamtaniona sishikagi sm ya mtu
2026-08-20 18:23:26
1
Kadara Zahadiri :
hahahaha mi nipotayali adi kufungwa
2026-08-20 10:09:01
2
𝔇𝔥𝔢𝔢🎈 :
mnilipishe faini mpaka mniuwe simu halali yang kupekua
2026-08-20 17:13:11
1
my lindah🥰🥰 :
yaani mimi akilala kuna shetan ananiambia amka shika sim mumeo kalala😂😂
2026-08-20 14:19:14
3
Ney business online :
bas mi mtanifunga kifungo cha maisha 😂😂
2026-08-20 15:51:59
1
Trizakika Laizer :
Hahahaha mm kila siku mbona mtanipiga faini sana😂
2026-08-20 16:23:26
2
Joyce🌹 :
😹😹😹😹😹🙌 hapanaaa kwa kweliii
2026-08-20 09:36:31
1
Smaia🦋 :
Yaan muongeze beii
2026-08-20 15:52:13
1
motam :
saw mmenipata maan huu wivu nilinao😂😂😂😂😂
2026-08-20 16:35:17
1
ingei29 :
me sipekui ila yangu anapekuwa
2026-08-20 16:41:48
1
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.