@ringothedon: Lawyer

Ringo the done🍼 tz
Ringo the done🍼 tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 09:00:04 GMT
13417
832
37
18

Music

Download

Comments

kassim.amour.al.h
Kassim Amour Al Habsy :
Ila ningependekeza serekali ya znz ingewaandalia fungu la hawa vijana kila mwezi kwa kila mmoja sababu kazi wanayoifanya ni kubwa sana na inatambulika karibia dunia nzima hiki kitu sio rahisi kama mnavyodhan wanachangia kipato kikubwa kwenye serekali na kuongeza watalii mbali mbali na wakubwa sana hili tulifanyie kazi tafadhali 🥺
2026-08-20 17:55:43
5
binhaji15
binhaji :
kuna huy rasta apunguze matusi sio vizr
2026-08-21 06:21:25
1
uprising501
uprising501 :
Bob Marley ,Get up stand up.
2026-08-20 13:41:39
0
arqamu1
arqamu :
mungu abrk cnaaaas
2026-08-20 09:13:28
0
binrshid
Bin Rshid :
wa boda boda je?
2026-08-20 11:23:23
0
lameck.agustino
lameck agustino :
Wafungulie chuo cha ufundi wapate ujuzi. hiyo sio ajira mkuu.
2026-08-20 18:47:03
0
sniper3d66
Mr Balad :
Safi sana Mr Sema tena
2026-08-20 18:59:22
0
mr.ashy7
mr ashy :
mashauwa mungu wafanye wepes kwakila hatuwa duwa
2026-08-20 18:51:35
0
merdel73
Breezy 🏖️🍁🃏 :
Soteee
2026-08-20 10:08:27
0
user7272420742597
user7272420742597 :
mnafanya kazi nzuri sana ndugu zangu hongereni mungu awasimamie, Ila nakuombeni please tafuteni ujuzi wa nyimbo nyingne ili kazi yenu ipate kunoga vzuri
2026-08-20 14:03:45
0
icc_isaq
icc_isaq :
Sio viatu tu, makachu peke yake hayatoshi pia.. wawezesheni.. serikalinkama serikali mkinunua jetski 20 tu mkaziweka forodhani hawa vijana wakazungusha wageni.. serikali ita generate kipato na vijana wakaongeza kipato chao, na kodi zitaongezeka.. kuna jet cars wageni wengi wanapendeea hvo vitu..
2026-08-21 09:35:24
0
arif.dadah2
Arif Dadah :
wasaidie ambao hawajiwezi sio hao hao vijana wana nguvu zao
2026-08-21 12:27:23
0
user6172287155816
LEVEL_1 :
Tunawakubali sana,ila kuna baadhi wanapenda sana matusi kwenye clip zao sio vyema wanajiharibia
2026-08-20 20:50:47
0
a.zanzibar
A ZANZIBAR :
angalien Sana washaona fursa 🏊🏊🏊
2026-08-20 15:42:26
0
user749230304553786
idrisa nikiyi :
YULE ALADII AONDOKE WASIMPOST ANAHARIBU NA PALE FORO ASIWEPO
2026-08-21 07:37:50
0
hamed.mohamed113
bad man :
😂😂😂😂😂😂😂😂wadanyanye
2026-08-21 04:11:07
0
arif.dadah2
Arif Dadah :
mhe unawasaidia vijana hao miguu yao mizima mikono mizima kwa wasifatafute kazi stone stone nyumba nyingi wananchi wanaoishi Hali duni kwanini usipite nyumba Hadi nyumba uwape msaada unaenda kuwapa vijana mikono miguu mizima watafute kazi hata karanga wauze
2026-08-21 12:25:28
0
yussufabeid4
yussufabeid4 :
Hyo ndio kzz ya vijna wetu kwenye hilii taiffaa jamni wadada wanaenda pae uchii uchi ss tunsherekeaa jmnii dahhh mithnii
2026-08-20 21:32:37
0
chieframsy_tz
Chieframsy tz :
Kwan makachu ndo vitu gani😂😂
2026-08-20 20:22:18
0
user8102031509554
IMU BWAY tz :
KIONGOZI WA KWANZA TAJIR ZANZIBAR wengine dhiki tu
2026-08-20 23:32:46
0
yussufaliyussuf
Muda.sea food🇹🇿 :
🫡🫡
2026-08-20 18:37:33
0
madewecomedy
madewe :
🥰🥰
2026-08-20 10:03:09
0
yunswhiter
White :
💪💪💪😎
2026-08-21 08:28:40
0
To see more videos from user @ringothedon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About