Allaah anamtambua yesu sio Mungu Wala mtoto wa Mungu baali ni mtume wa Mungu
2026-08-20 15:11:43
4
SharuQajin :
sasa kipindi cha mussa yesu alikuwepo hapo firauni alimaanisha mungu anaemudu mussa ambaye ni allah na ndiomaana yesu alisema amekuja kukumbusha yale alioshushiwa mussa na ibrahimu
2026-08-20 18:39:10
2
M.BLAZE :
only Jesus is a king🙏🙏🙏
2026-08-20 16:18:38
2
Hildagade Samson :
Barikiwa sana mtumishi 🙏
2026-08-20 12:57:42
2
user4544323307098 :
yesu kirsto nibwana wangu kira siku
2026-08-20 18:19:27
4
KANISA LA DAMU YA YESU KRISTO :
amen 🙏 naona misikiti yote kule tunaelekea utakuwa makanisa ulimwengu wote ukweli ndio huo haupingiki
2026-08-20 16:36:33
2
Joshua 4kop :
jesus is lord Ameenaa!
2026-08-20 15:19:14
0
paulrt :
Mungu awabariki wakristo wote duniani
2026-08-20 16:31:48
1
Salehe kaondo :
swali dogo Tu kwani Yesu na zakaria Nani wa kwanza kuzaliwa, pia Yesu na Adam Nani wa kwanza kuzaliwa??? atakuwaje Yesu awe Mungu kabla ya Adam na zakaria??
2026-08-20 20:03:44
0
Greater than today :
uyu jamaa ni fire 🔥🔥 i think ni teacher wa ndacha ☺️☺️
2026-08-20 17:00:52
1
TRUE EYES :
Bwana Yesu asifiwe🙏🙏🙏
2026-08-20 21:24:22
0
abuu swalfeeq assalafiyyu lwel :
hao ambao fir auni alikua anawafuata kiongozi wao alikua nani? na jee yesu alikua tayari ameshazaliwa?
2026-08-20 20:36:43
0
Alex :
Iv zimeandikwa kweli au tuanzia apo kwanza
2026-08-20 20:37:36
0
Hortência rodema :
bwana yesu asifiwe. .. amen
2026-08-20 18:57:17
0
richardmugambi6 :
Amen 🙏🙏🙏
2026-08-20 19:44:16
0
KANISA LA DAMU YA YESU KRISTO :
kumi tisini Quran wote wamuamini BWANA YESU KRISTO NI MUNGU WA KWELI
2026-08-20 16:38:23
1
Baraka Singaen :
amen
2026-08-20 20:40:05
0
Robert Simiyu :
Amen
2026-08-20 11:17:11
0
François mokonzianho :
napenda iyo
2026-08-20 17:39:34
0
user2700772111618 :
ameeeen
2026-08-20 17:22:42
0
Dennis wamҽɾų :
amҽŋɩ
2026-08-20 18:05:27
0
LOVE TZ TANZANIA :
ubarikiwe
2026-08-20 19:19:32
0
RAJABU SINGANO :
acheni kugeuuza maandiko
2026-08-20 19:06:20
0
alijiza :
wacha kupotosha watu
2026-08-20 20:37:40
0
dan :
Amen
2026-08-20 11:28:16
0
To see more videos from user @missionarygichinga, please go to the Tikwm
homepage.