@rodifelix16: Huyu ndiye mtu aliyeifanya sanaa ya Capoeira kuogopwa na kupendwa zaidi duniani kwenye ulimwengu wa filamu! 🥋💥 Unamkumbuka Andorai kwenye Undisputed 3 au pambano lake la hatari dhidi ya Tony Jaa kwenye The Protector? Anaitwa Lateef Crowder — bingwa wa mateke ya angani na miondoko ya hatari. Tazama stori yake kamili ujue jinsi alivyotoka kucheza Capoeira mtaani mpaka kuwa mmoja wa stuntman na waigizaji wa sanaa ya mapigano wanaoheshimika zaidi Hollywood! 🎬🔥 #LateefCrowder #Capoeira #MartialArts #Undisputed3 #ActionMovies