kiukweli nilishawahi kuwaza kupata mtoto wa kike nikanunua na nguo kabla ata sina ujauzito na ilikuja kama nilivowaza katoto ka kike 🥰🥰🥰🥰🥰harafu kwenye hili niwakumbushe sisi watu ambao Huwa tunaongea peke yetu Huwa tuna umba automatically unashangaa mtu amekuuzi unaanza kuongea kama unamuona na anapata matatizo kweli 😳😳😳😳
2026-08-20 11:20:38
2
mkombozi wa fikra za mwafrika :
nakuelewa sana mwalim barikiw sana
2026-08-22 06:28:21
0
Mr Right 🌬🌊🔥🌍 :
🪶💯🌊
2026-08-20 10:16:31
1
Big 3 :
kunamisemo tunaitumia bt inamaana kubwa sn shida ni hatuzingatii
2026-08-20 12:29:27
1
Topnine Topnine :
upo sahihi kabisaaaaaa
2026-08-20 15:40:20
0
fortunatusandrea :
bro umefanan na pro jamal april
2026-08-20 09:44:28
0
𝗙𝗲𝘆 𝘁𝗼𝘁𝗼 :
Leo ndo nimeelewa kwann natakiwa nifanye meditation
2026-08-20 17:58:03
1
shaqerzullu :
Mungu hana mfano na k2 chochote
2026-08-20 09:45:47
0
TRUTH@tz :
Yaah sure broh❤️na usichokiwaza au kukiamini hakiwezi kukipata, and vise versa
2026-08-20 10:03:32
1
Angelbeauty_products :
Kun mt flan alikuw anategea kufany vt flan na wenzie akisema anaumwa yn kil kukicha anasingizia anaumw aisee saiv anaumw mpk huruma🥲
2026-08-20 10:18:40
0
Namuza💕 :
🥰🥰🥰
2026-08-20 10:12:19
0
daughter of god🥰 :
🙏🙏🙏
2026-08-20 10:23:31
0
To see more videos from user @wamburamgaya, please go to the Tikwm
homepage.