@afyatele: FAIDA YA JUICE YA CARROT KWA MAMA MJAMZITO; 1.Hulinda macho kwa kuwa ina beta-carotene ambayo mwili hubadilisha kuwa vitamin A. 2. Huimarisha kinga ya mwili. 3.Husaidia afya ya moyo kupitia antioxidants na virutubisho vyake. 4. Husaidia afya ya ngozi. 5. Hutoa virutubisho na maji mwilini. Ni bora kunywa kwa kiasi, na carrot nzima ina nyuzinyuzi zaidi kuliko juice iliyochujwa. foryoupage#usa🇺🇸 #tanzaniatiktok🇹🇿 #afyatele #Afyayamwanamke #pregnancy