@cley15_: #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryoupage❤️❤️ #viraltiktok #trending #fypシ

PEACE MAKER 🚧
PEACE MAKER 🚧
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 09:55:53 GMT
6838
655
89
34

Music

Download

Comments

shuwenaharoub72
Shuwena :
yan kaka daah nayachukia mapenz sito kuja kupenda tena nimetendwa mapak nashindwa kuelezea nabak kimya tu😭😭😭😭😭😭
2026-08-20 10:25:31
8
user4612632661557
mumy :
kaka. mbona. km umenifikia nawachukia wanaume nimetendwa. mm nisaidie. plz nisaidie
2026-08-21 04:05:28
3
user7616821874774
Ukhty Najath :
tufanyi nn sasa jamani😭
2026-08-20 10:44:36
1
khairatadam04
khairatadam04 :
tusaidie jaman tunateseka
2026-08-20 14:39:33
2
ashaally4291
mamy sss :
kabsaaaa huwez nambia chochote kuhusu ndoa au mapez huwez nambia nikakuelewa
2026-08-20 14:50:02
3
user9530377698304
0766333928 :
umeogea kwa uchungu adi mwenyewe nimelia
2026-08-21 03:18:40
1
lilian.rioba8
Lilian Rioba :
Uongo matalau kaka unapenda mtu kumbe anakuchesea tu kaka 😢
2026-08-20 13:00:30
2
chiku.terra3
Chiku Terra :
daaah acha tuu brooo😭😭
2026-08-20 18:20:56
2
tausikassim307
tau🐾 :
dah! kaka unaongea kwel kabisa😢😭najion mimi kabisa yan kwenye hayo unayo ongea mapenzi yamenfanya kitu kibaya mno😢
2026-08-20 10:11:00
3
bintimbeyumwalimu
Ummu Swabrina 🦋✨🤍 :
Mimi hata moyo wangu umechoka maana kila nikijaribu kupenda naishia kutendwa tu mpka nimekata tamaa😭💔
2026-08-26 22:49:12
3
happymlundi
happymlundi :
na wanaoumizwa ni wale waaminifu na wakweli
2026-08-20 21:11:18
2
ann60893
Ann :
kama mm nime choka Yani nimechoka mapenzi 😭😭ni chungu haki nime choka 😭😭
2026-08-25 18:50:34
2
user5971315661905
kenya123- :
sio mwingine ni Mimi hapa, hata Kwa upanga siwezi Tena haki siweziiiiii
2026-08-26 14:16:47
3
mary.john2861
mama jonathan❤❤ :
naogopa
2026-08-20 13:02:21
1
user2815033281428
user2815033281428 :
kweli broo mm nilikuwa na baba watt wangu nimetoka nae mbali kimaisha alipopata pesa tu aliniacha na nimezaa nae watt 5
2026-08-23 12:47:45
1
officiall.cutee
Officiall cute :
Yarab nipe nguvu ya kulea watot wangu2 sizan kama mem2 miungoni mwa watu
2026-08-20 17:40:18
2
velmah143
velmah :
Nilipenda kwa moyo wangu wote, nikavumilia mengi nikiamini mambo yatabadilika. Lakini mwisho nimejifunza kuwa si kila unayempenda atakupenda kwa namna unavyostahili. Moyo umeumia, lakini siku moja utapona. 💔🥀😭😭😭😭😭
2026-08-21 18:58:41
2
mary.john2861
mama jonathan❤❤ :
mi kunamtu jana kanambia tuowane nimeshituka jamani ila akitaka kufanya kitu ananiambia sasa cjui ananipenda kwer
2026-08-20 13:01:10
2
user222352366754
[email protected] :
siwesi kubali tena,,kupendwa,na penda,najuwa, mwenyewe
2026-08-20 10:37:56
0
mid_soon
mid_soon😷 :
yani weacha tu
2026-09-03 14:21:05
1
its.me70479
it's me704😍 :
unanitoaga machozi kaka mungu akulinde kwakututiamoyo wewe si kamavujana wengine wanao tukashifu sante😭😭😭😭😭😭
2026-09-03 08:13:40
1
1225lux
Lux Mund :
mimi ndiyo hata sikuwahi kuwa na positive altitude kuhusiana na mahusiano na ndoa na hata rafiki na ndugu wanavyosema i'm not psychological stable wao ndio naona wapo na hiyo shida
2026-09-02 16:05:03
1
user37379123813935
mom v :
mapenzi yamekuwa janga kwa kila mtu mi ndo staki kuskia kabisa
2026-09-03 12:53:39
1
user6566812818707
🔜✍️ :
Najua Mungu hasomemi comment ila acha nimwachie
2026-09-01 11:34:15
1
user9456133551516
my smiley🌹🌹💞💞 :
nilimpenda lakn alionifanyia nikikumbukaa na bak kulia2 jmn
2026-09-03 13:20:03
0
To see more videos from user @cley15_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About