Hii voice magazet ya asubuhi ilikuwaga ya kigademit yan unawaza uache ata shule 😂
2026-08-20 17:04:15
2
I know who I am :
sasa hapo legendary ndo nimeamka nimefua shati nalikung'uta likauke afu daftari limeisha afu sijamwambia dingi afu ndo nawaza jinsi ya kwenda kumuambia🤣🤣
2026-08-20 14:10:52
1
florashija :
na bado begi la shule hukumbuki umeliweka wapi afu kiatu kimoja uliacha nje kingine chumbani afu hiyo ni jumatatu mmeagizwa fito ww unakumbuka ni kuni bado muanze kubishana😁😁😁
2026-08-20 10:59:35
1
Naina Simba :
sosk moja unakta unavaa mara2
2026-08-20 22:07:16
1
chef Hyune♉️ :
me niliiba fagio la chooni
limekomaa hilo yan ukiliona unajua tu ni la chooni
2026-08-20 15:36:12
1
@💕💕🥰 :
😂😂😂
2026-08-20 12:38:38
1
Ayla Cosmetics :
😳😳😳
2026-08-20 12:52:00
1
To see more videos from user @iam_kadodo, please go to the Tikwm
homepage.