Nijenge nyumban kwetu at least ndugu wa baba wawe na heshima na mim😭😭hii kitu inaniumiza wallah 😭😭😭😭
2026-08-21 09:58:58
220
addy :
aloo sipendi dharau kutok kwa wanaume pia kuomba sipendii
2026-08-21 11:15:08
134
Mars’gee❤️ :
Nakataaa Umaskiniii Kwenye maisha yang kwa jina la Yesuu 😭😭😭
2026-10-13 05:50:48
18
Ms.Leo111♌️ :
Kuomba half usipewe na nikiwaza mimi ni mhehe yooh siwezi kubembeleza😂🙌
2026-08-20 12:43:50
68
zawady💖 :
Nina kiburiiii mno 😁😁😁nisipokuwa na pesa ntateseka mnoooo
2026-08-22 09:21:48
16
tiffany :
Mama angu alinipigia cm akanambia mwanangu kile kibanda ninacho uzia wametufukuza nlilia nlitamani ningekuwa na hela ningemfungulia biashala napambana nimfungulie biashala mama
2026-09-15 13:40:15
10
Miss Gee❤️😔💔🦋 :
WANAUME WANA DHARAU SANA sitakaa nisahau siku ambayo nmueleza mwanaum wang changamot za familia yngu baad ya dk kadhaa kaenda kumuhadisia mchepuko wake wakaw wananisema vby muda huo bab yngu ni mgonjwa nilijskia vby nlijion sina thmn na inaniumiza mpk leo hio hali😭💔🙌
2026-08-21 19:26:37
8
God’s favour 🙏🌸💫 :
Mama angu aache kulia 😭😭na ndugu zake waache dharau kwenye familia yetu🫂😭
2026-08-21 14:26:00
27
Aliyah 🌸😊accessories :
🥹nimekua nikimuona mama angu akipambn sana acha nimpambanie sssiv
2026-08-21 07:29:22
28
Mama Nu²🫂👣 :
natamani one day nismame mwenyewe bila kutegemea mtuu yeyote
2026-08-22 05:10:20
27
veronicatozz :
niteneze maisha yangu uwii nazo ela hazij uw biashara uw nani yupo free tulie☺️
2026-08-21 12:46:53
5
Eve♍ :
Nijengee angalau na mimi niwe na nyumbani niishi na mama angu na ndugu zangu naumia sana kuona mama angu anaishi nyumba za kupanga 😭Mungu naomba kama sio kwaajili yangu fanya ata kwaajili ya mama angu 😭😭😭😭💔
2026-08-22 07:08:32
7
Priscila bin mauja🌺🌹 :
Imagine sababu zenu nyie wote ni sababu zangu mimi pekeangu😭😭
2026-09-17 11:23:21
7
Nailah B🥰🫂 :
Familia yangu tu😭😭Mungu anisimamie🙏
2026-09-10 07:32:00
7
Swabaha Alli :
Kuna mtu nilikuwa naye alipo jipata alikua ananidharau daaaaah Yani alinifanya nipambane Ile ya kweli kabisa Yani niliama hadi mkoa Yani siku tunakutana k/koo nimeenda kufunga bidhaa akuamini macho yake Yani Mimi mtu akinidharau Kwa lolote Yani ndo ananipa nguvu ya kupambana Yani mpaka Leo ndo nipo ivo kwaiyo Kwa yoyote ambaye aliwai kunidharau nasema Asante sana umenifanya nipambane Ile ya ukweli 🙏🙏🙏🙏
2026-08-22 04:03:37
7
it's-pendo💕🤗 :
I am first born, sina wa kumtegemea ata ndugu , dharau za watu juu yng inanipa hasira sn
2026-08-21 20:03:16
5
dolphin❤️🔥 :
kusubir pesa ya kuahidiwa na kuwekea malengo at de end hupewi na unaonekana unadhiki hiii kituuu inanifanya ni pambane sanaaa kutafuta pesa yangu🥺
2026-09-20 10:36:47
9
hopelissa :
natamani niwajengee wazazi wangu kijijini, niwasomeshe wadogo zangu, mm n first born 😭😭
2026-09-15 11:20:52
8
Aneth Samu :
mtu unamuomb pesa anakwambia umkumbushee😳😳😳guys mnajua uchungu wa kukumbusha lakn😁😁😁
2026-09-04 09:19:34
14
Rahma🎀 :
Dharau ya mtu ambaye amesababisha niitwe single maza🥹
2026-08-24 12:53:20
11
Rosie❤💘 :
yahn natamn sana nimsaidie mama angu ila ndoivo maadamu napumua siwez kata tamaa
2026-08-20 18:41:21
8
___GLOWRIE BY GLORY❤️🛍️ :
Mama yangu na mdogo angu yaan daah Mungu asikie kilio changu🥹😭🙌
2026-08-20 17:54:03
6
adelaspareparts1 :
Tharau za ndugu wa baba kwa mama yangu alfu mungu akanipa uwezo wa kumpa mia mbili akafariki kabla ata ajafaidi ela yangu😭
2026-08-20 21:05:03
7
MADAM C.E.O :
dharau masimango 🙌🙌🙌 nikit ambach huwa kinanikata sana na naweza niskusamehe
2026-08-21 08:02:21
9
To see more videos from user @florah3344sweetjuice, please go to the Tikwm
homepage.