@health_farm_tz: Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Geoffrey Malandu, ametaja sababu kuu zinazoweza kuongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito wa watoto mapacha. Credit: TBCdigital #healthfarmtz #afyayauzazi #mapacha #genetic #twins