@eularaketlen: #CapCut

Lara ketlen
Lara ketlen
Open In TikTok:
Region: BR
Thursday 20 August 2026 11:31:20 GMT
327
36
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @eularaketlen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

✨ASANTE MUNGU 🙏   WANAFAMILIA YANGU YA INSTAGRAM ❤️   ✨Leo msusi wenu @ester_msusi  anatimiza miaka  20   Ya kazi ya ususi.  🙏Katika safari yangu ya ususi,nisafari yenye milima na mabonde mengi….Nisafari ilikuwa ni yenye kuzaraulika sana,Kukashifiwa sana😭.NAMSHUKURU MUNGU SIKUWAI KUKATA TAMAAA.kazi ya ususi ilionekana ni ya watu wa hali ya chini sana,au yawatu ambao c wasomi….Kazi hihi sasa ivi ni kimbilio la wengi. ✨NAMSUKURU MUNGU SANA.Kwa kunipa kipawa cha USUSI NA UWALIMU WA KUFUNDISHA WENGINE  Mpaka sasa nimefundisha watu 102. NAOMBENI MZIDI KUNIAMINI ZAIDI KUWAFUNDISHA WATOTO WENU KAZI🙏❤️  🙏NAMSHUKURU MUNGU SANA 🙏  ✨ KWA KUNIPA HESHIMA, KWA KUPITIA KAZI HIHI YA USUSI.KWA KUNIFANYA NIITWE NA WATU MAJINA MAKUBWA AMBAYO SIKUWAI KUWAZA KUWA NA MIMI NITAWEZA KUITWA. ✨MUNGU AMENIFANYIA MAMBO MAKUBWA SANA.Kwa kupitia kazi hihi ya ususi.  ✨NAPENDA KUWASHUKURU SANA @darlinghairtanzania    Ni kampuni yenye kuinua sana wasusi. NAIPENDA SANA. NAPENDA KUTUMIA BITHAA ZAO.Bithaa zao zote zinaubora wa hali ya juu sana.Wateja wangu wote nawasukia nywele za @darlinghairtanzania   ✨WANAFAMILIA  YANGU YA INSTAGRAM NAWAPENDA SANA❤️.Mmekuwa mkifurahia kazi zangu na kuniamini niwasuke.Nawashukuru sana kwa kunipa sapoti kubwa ya kuniungisha katika duka la @esta.cosmetics @ester_naturalhair_clinic  @ester_msusi  Salooni ipo Moshi mjini ❤️   NAWAPENDA❤️ Tupo jengo la kibotower floo ya 2 Chumba no:201 )Ester saloon @esta.cosmetics  0712782591,0786337030,0763123537 #atlhair #atlnailtech #atlhairstylist #atlmua  #butterflylocks#passiontwist #cornrows #fauxlocs #natural #naturalhair #twiststyles #flattwist #threading #africanhairstyles #africanhairbraiding #kinkyhair #kinkystyles #twiststyles #cornrows #springtwist #protectivestyles #estermsusi#knotlessbraids #boxbraids#bobystyle#cornrowbraids#afrotwistwave#twostrandtwist #curlytwist#singlebrais#frenchcurls

About