@dangerlion46: #creatorsearchinsights #quietonthecreek Hii imenikumbusha mbali sana kipindi namaliza kidato Cha 4 wenzangu walifanya sherehe walikuja ndugu jamaa na marafiki ila Kwa upande wangu sikumuona ndugu wala rafiki asee nliumia kinoma hio siku sitokaa nkaisahau ☝️🥹

CHAMPION'S 💪🏆
CHAMPION'S 💪🏆
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 11:34:22 GMT
159362
11075
499
139

Music

Download

Comments

official.glove
official glove🥰 :
maskini daah kunaki2 umenikumbusha mwaya pole [Embarrassed][Embarrassed]
2026-09-19 06:47:15
2
ashfaina417
official shuu 👌 :
upweke unauma jaman daaah
2026-09-19 02:55:48
56
joharmohamed618
jojoli😘 :
alaf nikipata ela wanakuja adii ambao siwajuii😂😅
2026-09-19 09:20:51
9
user63150340154160
Mrisho Baba :
saloot solder
2026-09-19 08:11:02
6
lushaina.nchimika
Lushaina Nchimika :
wale waliotoa machoz polen san
2026-09-15 06:10:50
124
qareemsaid
@qadshah :
mimi nimeshazoea kwa sasa huwa silii tena maana la saba nilikuwa sielewi hata haikuniuma kama kidato cha nne ndio nilijua kumbe sina ndugu, kidato cha sita na chuo nikaelewa nilichukua cheti nikarudi kulala hata picha nilipiga kesho yake nililia sana, lakini wakati napata masters nilipata wafanyakazi wenzangu maana niliwaambia mie sina ndugu yeyote hapa duniani hata ninayemjua.sema mungu anajua kusudi lake, baba afe mimi bila hata kumuona mama afe nikiwa la sita na niishi vituo vyo world vision nisijue hata ndugu mmoja hadi leo nimeshazoea mimi mwenzenu najioneaga sawaa tu 😭😭😭😭😭🙏
2026-09-19 11:38:20
22
afnanwakilo_makeup
Afnanwakilo_Makeup :
Jamn inauma
2026-09-19 07:31:53
0
burumojang
burumo :
duuuuu ,,,allooooooo!inauma,
2026-09-19 03:26:36
0
mr.code.one
MR CODE one :
so pain
2026-09-19 09:43:44
0
alice_lawrence12
🎀𝒜𝓁𝒾𝒸ℯ🎀 🫧 :
So sad aisee 🥹🥹🙌🏽
2026-09-19 07:52:00
1
user8824845081223
✨️🥷J.A.Y V.O.I.C.E✨️🍀 :
kama umeguswa ganga like apa😔🫩🫩
2026-09-15 17:39:58
23
user3252360379148
mwakalinga :
mpka machozi yamenitoka hii kitu imenikuta wakati namaliza form 4 hakuna hata ndugu aliyekuja,ikajirudia tena wakati namaliza form 6 tena niko peke yng bora chuo nilipata mama wa mume wangu coz tulikua tunasoma wote so tukajumuika pamoja,uyatima mbaya sana jamani mungu anipe umri mrefu wanangu wasipitie haya
2026-09-15 18:42:54
172
amir95.co
Amir Khamis :
hakika imenigusa hii mungu atupe nguvu tuweze kuyavumilia haya majaribu
2026-09-19 07:18:12
7
reamah_25
RASHMA :
kma mimi tu nilivyobaki siku ya passout after parade 😭😭Allah awalaze pahama pema palipo na wema wazazi wangu 💔😭
2026-09-16 06:35:22
10
mwamba4715
Mwamba🤭 :
Daah huyu n mm kabisaaa siku y kuhitim nilikuw peke yangu daah😅😅😅
2026-09-14 09:31:30
11
khadijajuma408
khadijajuma408 :
mbona nalia Tu Mimi jmani
2026-09-16 06:49:30
8
222kapus
@mr.you.to :
inaumiza jaman ila ndo ukamanda lohongumu ndo chanzochake apo
2026-09-16 10:29:58
5
nyakamata6
Nyakamata :
ila inauma sana nyie yani unakuwa kama umefiwa vile kwanjisi maumivu unayokuwa unayasikia🥺🥺🥺
2026-09-16 16:27:12
8
user1287444997425
chefas £& :
haya maisha achaa tu wengine tumezaliwa kuja kuteseka duniani tu
2026-09-04 12:27:07
8
mr.ibrahim.rashid5
MR IBRAHIM RASHID :
🥺🥹😭
2026-08-20 20:41:05
5
men_izo17
M=p Tz🇹🇿 :
tushazoea sisi toka la 7 ad chuo hakuna ndugu
2026-09-15 19:38:01
6
judith_wigs_stylist
JUDITH WIG STYLIST -TZ :
Mimi pia Sina nduga hapa Dar what about me
2026-09-16 12:07:47
7
rechelharrisson
Faus seleste🌙💃😍 :
haya yalinikuta nikiwa namaliza form four kwenye graduation ya tycs acha kabisa siwezi kusahau hata kitu kimoja cha ile siku
2026-09-19 06:30:51
8
zuuhgmai.com1
zuuh :
ilimtokea kakaang hatukuend kutokan nauwezo mdog maskn alilia kwen cm yeye😅
2026-09-19 08:59:19
6
emiliatesha
emiliatesha :
mm iliwah kunikuta iyo kwenye graduation wenzangu wote wazazi wao wapo mimi sasa sina hata ndugu aliyekuja niliumia ila ndo amna jinsi yalipita na sasa tuna pambana
2026-09-16 09:40:28
5
To see more videos from user @dangerlion46, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About