huyu mama Inshaallah ipo siku ataenda MAKKA mji mtukufu Inshaallah 🤲
2026-08-21 13:20:05
172
muba k :
Allah atupe riski tuwasaidie na wenzetu🙏🙏
2026-08-20 12:06:59
98
️ :
me nikiona video kama hizi sjui kwnn nalia wallah machozi automatic yanatoka 🥺😢😢😢
2026-08-21 07:31:12
76
dida the fighter :
Nakumbuka home Zanzibar Ramada ya mwaka 2024 maeneo ya baharesa kituo Cha gari nilimpa mdada mlemavu elf 5 na ilikua na pesa ya kumnunulia nguo za eid mdada wangu wa kazi ambae ni yatima sio Siri nilipofika dukan nilipewa vitambaa viwili bure kwa ajili ya huyo mtoto Sheila kutoka Lindi jaman mungu yupo tufanye ibada kwa sana Allah Akbar
2026-08-21 20:39:51
20
user59152285419331 :
Mwenyezi Mungu Mfanyie wepesi huyu Mama. Inshallaah
2026-08-20 19:12:06
20
BAMPE :
y Allah tujalie mama zetu rziki za halal amni
2026-08-20 19:53:43
6
moblack_095 :
NIMEJIFUNZA SANA KUPITIA HII VIDEO JAPO NIMEZIONA NYINGI SANA KAMA HIZI LAKINI HII IMENIGUSA SANA ALLAH AWAFUNGULIE WOTE WANAOPITIA MAISHA KAMA HAYA
2026-08-20 19:30:18
25
Zamaradi mohamedy :
daa najikuta nalia kuna mama kama uyu alininunulia mkate na pampas ya mtoto sitokaa nimsahau pale magufuli mungu nifanyie wepesi siku nikamtafute nimpe ata asante yangu
2026-08-22 16:35:09
9
bahar :
moyo wake ni mzuri kama alivo mwenyewe❤️😘
2026-08-20 20:27:15
12
Wastara :
allahu tujalie tupate lizki tuwahudumie wazazi wetyu kwa wakati
2026-08-20 20:27:04
5
mudrik-11 :
jmn alie kuw na uwez jmn amsaidie
kwani n mama atu sote😭😭😭
2026-08-21 17:25:26
7
yusph :
yupo wap uyo mama tumeni namba ili tupate kumsadia chochote kitujamani kutoa nimoyo sio utajili malipo yapo kwa allaha
2026-09-11 06:35:04
4
Maryam Hassan :
alihamndulilah
2026-08-23 20:40:49
2
ELIMU NI NURU📚 :
pole san mam Allah akufungulie kw sadak yak uliotoa
2026-08-20 18:31:24
6
😶🌫️ :
acha tu yupo mmoja alikufa mbele ya mikono yangu tulimbeba ĥospital alikua anauza mayai ila alikufa njaa du wanapitia magumu sana🥹
2026-08-21 13:40:00
5
Nuu Accessories 🥀 :
Kweliii kutoa ni moyo jmnii daah Allah fanya jambo kwa ajili ya huyu mama
2026-08-21 05:05:37
6
Sarha Francisca25☘️🍀✨️❤️ :
Mungu mkumbuke na huyu mama
2026-08-20 13:26:14
6
mom swabirna :
masikini mwezimungu tujalie riziki za heri ya Allah mfungulie huyu mama hapate kusitirika katika haya mazingira Amin Amin Yarabi 🙏
2026-08-20 20:13:49
5
Lailath Mohamed :
kwani sikuiz ukitaka kumsaidia mtuu lazima utangaze upate kk
2026-09-03 22:12:39
4
shadia Ally :
Alhamdulillah Thumma Alhamdulillah
2026-08-21 17:44:25
2
khadija philipp :
Allahumdulilai
2026-08-20 20:46:06
3
Saymar :
tue na moyo
2026-09-13 04:24:28
2
sbgoodman1 :
inshallah .... bidii izidi kwa wing kusaidiana
2026-09-03 11:46:50
1
Merry Haule :
mungu simama na mayatima wajane
2026-08-25 18:25:03
1
master je big :
ALHAMDULLILAH
2026-08-21 19:53:18
1
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm
homepage.