nauliz mayai hata yakisas ni sawa.? na nyama hata kuku wa kisasa ni sawa?
2026-08-20 12:44:56
8
Marjorie📿 :
🥰🥰 diet raha
2026-08-21 07:01:15
4
Aunty maggie :
msemakweli ni mmoja tu
2026-08-20 13:07:03
11
Shishylovie💫 :
Mayai c hata ya kisasa 😂😂😂
2026-09-07 11:38:14
1
vaileth msechu :
ukiachana na diet hiyo siyo ngumu vp kuhusu jinsi ya kukata hamu ya kula kula maana nadhani hata ukila diet lakini ukiwa unakula kula hovyo hata diet haitafanya kaz plz help me nataka hii hamu ya kula kula hovyo
2026-08-20 20:55:08
3
Mahewa jr :
bro mambo vp, vp kuhusu ndizi za kupika?? zinafaa kwenye diet??
2026-08-21 05:58:59
4
sarah sb :
mayai ya kienyeji tu au na ya kisasa yanafaa??
2026-08-22 20:05:04
1
Rwechu Katali :
jaman kwa bachela au wenye ndoa alafu nyie amjui kuhusu family uwez kua na elf mbil unasema ule mayai family achen bac kua na maisha yasio yetu jaman wengine kuku mpka mwisho mwa mwaka kaka acheni kabs bwn
2026-08-21 18:13:35
1
Azeezah officiall🦋💕 :
Ndizi mzuzu za kuchemsha znafaa?
2026-08-22 10:32:41
1
mamikhai :
naomva kuuliza mm naapunguza kula lakini nyama kuku sa.aki nakula naambiwa ntakuwa sipungui mana protini nyingi hii ni kweli?
2026-09-02 17:34:12
0
Pogo :
mimi suala la kulala mapena nimeshindwa
2026-08-20 19:41:00
2
zany lmn :
me natk niulize ayo mayai nimpendelee kula ya kukaanga au kuchemsha
2026-08-20 15:43:27
1
Mr_careful :
me nataka ongeza uzito
2026-08-21 16:43:12
1
rayc :
mbona wanasema wenye uzito tusile nyama na unakuta kwa wiki tanakula mara moja tu je inaleta shida
2026-09-02 07:01:40
1
gloriousfortunata :
Corch niambie tu nisikose kuku😂
2026-08-21 06:32:52
1
fetty :
Mayai hata ya kisasa yanafaa
2026-08-21 15:25:36
1
Ms. Msafiri❣️ :
Mm na allergy ya mayai nifanyaje
2026-08-20 15:54:32
1
Sophie :
1.Mayai
2.nyama
3.parachch
4.mboga za majani
5.samaki
2026-08-31 06:14:33
2
nuxham wayne :
Cocha naomb zungumzia kuusu mapumziko jee kulala mchan n vzur n usiwe umekula au
2026-08-20 11:59:28
1
Silvian Mbandi :
next
2026-09-16 17:08:17
0
💕Kudra💘 🦋Hawa🍁🌝 :
kuku je vp
2026-09-16 09:06:36
0
devothakanana :
nakukubali sana kaka
2026-09-13 15:47:20
0
The Man :
Kama ni nguvu juu ya mambo mema haina utawala wa kishetani au kuua wengine hakuna ubaya nguvu hiyo unaridhia Muumba
2026-09-13 09:06:48
0
samia,❤️❤️❤️❣️ :
je kande vipi kama unaitumia kwenywe program
2026-09-07 20:12:18
0
Macha Msemakweli :
hapana
2026-08-20 12:58:58
0
To see more videos from user @msemakweli_macha, please go to the Tikwm
homepage.