@bongofive: Wasanii mnikumbuke” — Mariam, Mke wa Mandojo Mariam, mke wa msanii Mandojo, amewaomba wasanii wenzake kumkumbuka mara kwa mara baada ya baadhi ya wasanii walioshiriki kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya Bongo Fleva kumtembelea na kumjulia hali nyumbani kwake Iyumbu, mkoani Dodoma. Akizungumza kwa uchungu, Mariam amesema familia yake bado inahitaji msaada na kuwasihi wasanii hao kutowasahau, bali waendelee kuwafikia na kuwasaidia pale wanapoweza. Ziara hiyo imekuja ikiwa ni sehemu ya wasanii hao kuonyesha mshikamano na kumjulia hali mke wa msanii huyo. Kwa Madee na FID Q ambaye ni waratibu wa tukio la miaka 30 ya BongoFleva watakuwa na familia hiyo katika kipindi chote baada ya kutembelea hapo. Imeandaliwa na @yasiningitu

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 12:37:30 GMT
129040
4907
58
29

Music

Download

Comments

zawadi.msangi0
Zawadi Msangi :
niseme MUNGU wazidishiee mara zote na ulipotoa musipungukiwe bali mukaongozeke mara dufuu na musimsahauu huyo shemeji yenuu
2026-08-20 19:07:23
0
user5776191503339
Iysher🥰 :
usilie kwa sauti dada watu watanya challenge
2026-08-20 13:20:32
53
theaurie1
theaurie.✨ :
Hapo mwanzo amelia “my darling I can’t “?? Au
2026-08-20 16:48:05
2
mahimbo.mahimbo.j
Mahimbo Mahimbo Jr. :
Madee Mungu Mungu akupe umri mrefu baba
2026-08-20 14:36:17
9
rehemabakebura
Rehema Bakebura :
Wanangu baba yao alipata ajali alienda kumsaidia dereva mwenzio 😭😭lakini ata mkaa ajawi kuleta
2026-08-20 13:56:05
15
issamzelela1
LOVEBIRD 🕊️🕊️ :
ila madee anajitoa sana big up brother
2026-08-20 15:04:23
4
gladnesssijunga
gladnesssijunga :
R.i.p mandojo mbele yake na nyuma yetu na jina lihimiliwe amen
2026-08-20 16:33:55
6
yohana.deusi8
Yohana Deusi :
Upendo wa kudumu sana huo Mungu awabariki sana
2026-08-20 14:24:31
8
hassan.bushagama
Hassan Bushagama :
mlikuaga wp mda wote huo
2026-08-20 14:07:18
5
ayshersungura2
Daddy's heart ❤️ :
ila mavunde huyu baba ana pepo yake🥰
2026-08-20 17:08:17
1
user2261987476828
swaumu :
big up wa tazaniya hasa made
2026-08-20 13:57:12
2
neemabutoka
Ney toto :
Hongeren sana aisee huu ni upendo mkubwa sana endeleen na moyo huohuo
2026-08-20 17:24:48
1
gazelemaster
Gazele Master :
jamaan mjee na ruvumaaa jamaniiiii
2026-08-20 12:48:14
2
experencianaaloyce
Experenciana :
Mungu awazidishie muwe na moyo wa upendo siku zote jambo mlilolifanya ni zuri sana
2026-08-20 18:40:32
0
nevbeby1
Nevy baby ❤❤ :
man dojo ndio roho jaman nilikuwa napenda sana nyumbo zake mpaka leo mungu akupe wepesi dada ila wamekuumiza kidonda upya 😭
2026-08-20 16:20:13
1
upendofelix
upendofelix :
pole my
2026-08-20 13:11:55
0
immaculatha73
immaculatha :
hb vibaya mno
2026-08-20 16:37:28
0
kei.madavi
Kei Madavi :
safi sana
2026-08-20 14:56:48
0
paul.jeled
PAUl JELED :
inapendeza sana💯💯
2026-08-20 14:28:55
0
kennytz78
kennytz :
napenda k2 munachokifanya jmn
2026-08-20 15:18:15
0
judith72560
mom b :
waoooh napenda saana kwa team work yenu ya upendo mungu wabariki saana bongo freva miaka 30 mfike mbali mno ❤️🔥
2026-08-20 16:27:48
0
watotowamungu378
Ashura Ally :
pol
2026-08-20 16:22:44
0
amina.ulanga
Amina Ulanga :
mashaallaaah
2026-08-20 15:24:36
0
_rosemaryjohn
Rosemary John :
ameni ameni 😭😭
2026-08-20 17:00:45
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About