jmn kweli mi ndo mafuta yangu and am looking good and glowing
2026-08-20 19:13:45
0
user66683443694685 :
mhhh dada
2026-08-21 12:37:10
0
Warda cute💦 :
jamn me na ushuhuda na aya mafuta yalinitibu ukimwi😁😁
2026-08-20 20:27:34
58
Milka :
Ni Ai au?
2026-08-21 13:03:43
0
Mrs Double E ❣️💔💯 :
🏃ila jaman watu mtachomwa🤐
2026-08-20 15:33:22
59
Gloria🍒 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wooy mbna ndo napakq haya au top line gani mana nikiamka kama nimelala bandani
2026-08-21 05:09:10
13
Mis_Nipher🌹🦋 :
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
2026-08-21 16:50:46
0
reiry fashion :
ila watu kwakukuza mambo🙌😅
2026-08-21 10:44:32
10
Sweetoverlashes :
How much
2026-08-21 13:45:11
0
Tinna🌸 :
Acheni uongo jamani heee😳
2026-08-20 20:13:14
11
BIGMAMA🫷🏼🙂↕️🫸🏼 :
HAYAFUTI MICHIRIZI WALA MADOA ILA YANA MOISTURIZE NGOZI VIZURI. Tuache kupotoshana
2026-08-20 21:25:25
50
Happy💕🫂 :
Me ndo napaka na miguu naamka asubuh kama sijapaka mafuta😂😂😂😂😂
2026-08-20 17:00:33
30
jackiebernad :
Yamenitibu mpk usoni mpka makengeza yanaondoa🥰🥰🥰
2026-08-21 06:35:35
8
monie💎 :
hayafanyi chchte dada na yanauzwa 2500 tu
2026-08-21 19:01:34
5
lovly :
Sitaki ushaur nimechoka
2026-08-20 17:51:54
6
Eliza Lumambo :
sio kweli ndomafuta yangu hayaondowi cchochote
2026-08-20 20:27:30
9
daso :
Haya haya mafuta hapana dear sijawahi ona maajabu kabisa mmh
2026-08-20 16:28:52
8
Salome Ngowi116 :
naomba kuuliza haya mafuta yapo aina maana nimenunua pale dukani sijayasoma vizuri nafika nyumban naona yameandikwa mafuta ya kukamulia ng"ombe mpka nimeogopa kumpaka mtoto
2026-08-20 16:43:42
5
nyamongo💎_Love💙🥀 :
🤣🤣🤣🤣nimecheka mpaka nimefaliki
2026-08-21 12:36:10
5
Sarah. m_ :
Nina ngozi kavuuu sana haya mafuta hamna kitu kabisa hayasaidii chochote labda watoto😏
2026-08-20 20:49:53
2
Reymamodrick :
Nina ushuhuda na michirizi
2026-08-21 19:20:53
0
Fifi🌸💕 :
Labla kama siyajui 💔😂😂😂🙌
2026-08-21 11:05:03
2
To see more videos from user @luma.cosmetics1, please go to the Tikwm
homepage.