@wabwanga0: #sina baba Wala mama Sina ndugu yeyote ninaeongea nae wamenichukia Sina RAFIKI yeyote wa dhati Wala mpenz Nina wadogo wawili na mtoto mmoja wananitegemea #@Mbosso Khan Allah nisaidie mm
😭😭😭😭😭pole kaka tupo weng ambao hatuna mama inauma🥹🥹🙌
2026-08-20 20:37:24
62
Rahma🦋 :
mm najitolea najua maumivu yako hauko peke yako naomba uniite mama pole mwanangu
2026-08-20 19:29:58
67
Annizjoy :
pole dear
2026-08-22 18:35:11
1
Mariamu :
jamani mm 😭😭😭😭 mpaka nmelia sana mm sina mama wala baba tujipe moyo tu kaka 😭😭😭😭😭
2026-08-22 20:20:54
11
kipenda roho :
am here dear don't cry
2026-08-21 14:33:37
0
d.a.z.0.u.h :
Pole🥺🥺 Allah tulindie wazazi wetyu🥺🥺🥺
2026-08-20 20:38:01
12
UDS Spirit :
Pol mway kilamtu nikwamuda wake
2026-08-20 13:01:57
11
jakilini meruwa :
jaman kaka pole usikatetama mapema hivo jaman
2026-08-20 12:56:23
6
zay cute :
polee jmn mama anauma jamn tusio kuwa na mama ndo tunayajua haya maumivu pole mungu amuweke mahalia pema nilivyoona tu hii post nimelia san😭😭😭😭😭
2026-08-21 03:30:51
24
cuteness💞🦋 :
Wenye awajapoteza wazazi awawezi kuelewa ayo maumivu tupo wengi 😭😭😭eeh mola warehem walo tutanguliya
2026-08-21 22:11:56
6
Fadzy love🌸 :
poleeh sana kaka angu... alaf acha kulia kifo ni mlango ambao kila mtu ataupitia
2026-08-20 14:16:17
14
naiz :
😭😭😭allah amlaze sehm pame peponi inshllah 😭😭wallah hii nyimbon nikiisikia huwa nalia xn 😭n nakuwa nawaz xik ambay mam ang ataondok kabl yang 😭😭
2026-08-21 09:14:23
5
REEN :
mh jmn pole usisem ivy nalia huku mm
2026-08-20 20:31:26
4
zu baby :
mama ninae ila nimemkumbuka bibi yangu alivyomliza baba yanguuu wk iliyopt baba yangu amelia kama mtt jamanii na ndo ameachwa mkubwa poleni mliochwa mapema
2026-08-21 05:53:57
5
Atyug675 :
Pole
2026-08-20 15:42:39
2
Binti@yusta :
pole sana 🥹
2026-08-21 03:56:39
2
Lizzy 🌹🌹🌹 :
Usilie bhnaaa ukilianami ntaliaaaa🥺
2026-08-20 14:52:32
2
𝗩_𝓫𝓵𝓪𝓬𝓴💫✨🖤 :
hii noma sana
2026-08-20 23:34:13
3
lemn@h :
pole
2026-08-20 15:59:35
1
Winie Lisu :
pole kakaa
2026-08-20 19:30:50
1
To see more videos from user @wabwanga0, please go to the Tikwm
homepage.