@mchizipro: #HABARI Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Rudabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela Wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa katika mtandao wa TIKTOK. Hukumu hiyo imetolewa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini Mhe Ayubu Shirima. Inaelezwa kuwa Mshitakiwa alijirekodi na kusambaza maudhui yasiyofaa kwa kutoa lugha ya matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kwa lengo la kupata wafuasi wengi katika akaunti yake ya TIKTOK. Mheshimiwa Hakimu alitoa adhabu hiyo kwa Mshitakiwa ili iwe fundisho kwake na watu wengine wenye tabia kama hiyo katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Mchizi pro🐼
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 12:43:44 GMT
Music
Download
Comments
BENSON EDISON :
miaka moja daaa nashndw kulewa
2026-08-20 16:53:34
52
zidan issa :
1 2 3 4 5 ok
2026-08-21 02:10:42
0
🔥SOFT_GIRL😝🤟🏿 :
Jamani tusomee😂😂
2026-08-20 16:09:56
39
young escober@💀 :
wasomii haii🙌😳🙌
2026-08-20 17:03:13
0
Ansilah Mkude :
jamn tusome😂
2026-08-20 23:30:06
0
ibraah De national :
Kwa help gn
2026-08-20 17:06:49
0
it's farhiya💎🇹🇿 :
kumbe kuna miaka mmoja na hamsemi jamani 😃😃
2026-08-20 18:23:17
10
CHUSSE🤍🇨🇦 :
jamanii jaman tusomen jaman jamani tusome
2026-08-20 19:21:37
6
Best friend forever :
kiss
2026-08-20 20:40:44
1
lucas :
miaka Moja au mwaka Moja?
2026-08-20 15:57:45
10
Fazoh🥈 :
nchi hii Kila mtu ni mwandishi wa habari Sasa miaka mmoja ndo nn
2026-08-20 20:15:09
3
John pacha :
ndo mana mimi stumii tik tok😂😂
2026-08-20 18:45:27
3
Official 💫 Juliana ❤️ :
miaka 1
2026-08-20 16:32:59
7
mussamussa2935 :
amefanya nn huyo ndani y tktok
2026-08-20 16:07:43
3
Samy JR :
miaka mmoja nashindwa kuelewa
2026-08-20 17:57:39
2
Arya_Store :
Atajijua matus sio mazur ata kma hajamtusi rais mtu yoyote usimtukane
2026-08-20 19:16:39
1
ummyzuuuu :
Tumien mtandao vizur jmn
2026-08-20 17:20:26
1
Zainab :
amefanyaje
2026-08-20 17:59:14
1
Shkopafundy1 :
miaka mmoja Bado cja elewa
2026-08-20 17:11:43
1
Silver Boy Tz :
ndo utajua sasa kama niongo sasa hapo miaka au mwaka mmoja aisee sema me nlifuta tiktok sajui nani kadonload
2026-08-21 01:14:39
0
@Jr Manuari :
kweli kiswahili kigumu miaka mmoja ndio nini
2026-08-21 03:53:51
0
🌸💕calm_gurl🦋❤️🩹 :
hivi ni mwaka mmoja au miaka mia mmoja maana nashindwa kuelewa🤣🤣
2026-08-21 03:43:02
0
Danny dee :
saa kumbe miaka moja cyo mwwakq mmoj lakin
2026-08-21 04:53:54
0
GEE_75 :
miaka mmoja😂
2026-08-21 02:00:47
0
braytonnorobeth1 :
Jaman vijana wenzangu kunamda tujifunze kukaa kimya tu. kwa7bu hata uongee vip huwezi kuibadilisha 10 kua 3
2026-08-21 04:24:46
0
To see more videos from user @mchizipro, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.