@eternalinternationalhq: MWILI HAUKO KIMYA… UNAKUAMBIA UNACHOHITAJI. 👀🥗 Wakati mwingine siyo kwamba unahitaji kula zaidi—unahitaji kula kwa uelewa zaidi. Dalili unayoiona inaweza kuwa sababu ya vitu tofauti, lakini chakula chenye virutubisho sahihi kinaweza kuwa sehemu ya kujenga afya yako kila siku. Swipe 👉🏽 na jiulize: “Mwili wangu leo unahitaji nini?” Na wewe, ni dalili gani huwa inakusumbua mara kwa mara? 👇🏽