@mtwara_leo: “Kusini si maskini… Kusini kuna hazina kubwa ya Taifa 🇹🇿❤️ Mtwara ina bahari, fukwe, historia, utamaduni na fursa nyingi za utalii 🌊🔥 Swali ni moja tu: Tutaendelea kusubiri watu wengine waje kugundua, au sisi wenyewe tutaonyesha uzuri wa Mtwara? 👀👇@Joel Nanauka #MtwaraLeo #Mtwara #VisitMtwara #Kusini #Tanzania ”

MTWARA LEO
MTWARA LEO
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 12:58:14 GMT
15521
1011
41
16

Music

Download

Comments

idrisa0033
Engineer nagwa :
sio poa ila lindi hapan😂😂😂
2026-08-20 13:04:30
1
ramji.swalehe
Ramji Swalehe :
nimepamisi nyumban pande za mkanaledi
2026-08-20 14:34:10
1
abdul.tz19
ABDULLAH TZ✈. :
mtwara 💯💯💯.
2026-08-20 13:51:03
1
afsheenrahim747
Afsheen Rahim :
shida ni utawala wa kidini kutoka Nyerere mkapa magufuli wte Hawa kuitendea haki Tanganyika wameutelekeza baadhi ya mikoa wanaoishi watanzania wenye dini tofauti na Yao mama piga kazi Wala usiongalie dini
2026-08-23 05:43:45
1
mtotowababa53
MPELEMBE :
kuongea tu kutekeleza aaaah m wananikera 🤣
2026-08-20 18:45:48
0
zenasaid935
Zena Said :
mikindani hyo
2026-08-21 16:40:43
0
nabsalsaliym
Nabsal + Natural Haircare✨🌿 :
Mngeenda mikindani kuna sehem inaitwa oganic…the view🙌😍
2026-08-23 09:05:19
0
mussafaidhaki
Faidhaki Salumu :
Bora leo ameongea Mh Rais
2026-08-21 17:49:36
0
user2691459862682
fatma :
naamini kauli isemayo kila jambo lina muda wa ke atimie mtwara Mungu anainua Mungu bariki kusin sababu za utajiri zipo ila serikali imeitup
2026-08-23 17:06:44
0
mrrmt48
mrrmt48 :
kwer kbsa kk
2026-08-22 13:00:52
0
aidankasembe
mzito :
hapo mama umeongea ukweli.ila sisi wemnyeji ndio tumelala🥰
2026-09-08 06:40:53
0
namgongo.salumu
namgong'o salumu :
ahasante mama
2026-08-21 08:34:43
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Kweli kabisa mtwara inamaeneo mengi ya utalii kwakweli 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-20 19:12:20
0
passion.love37
passion love :
The dead city Lindi na mtwara..
2026-08-22 22:27:25
0
salehbzy
SALEHBZy :
ndo zitumike saxa
2026-08-22 08:15:35
0
tittosuma
Titto SUMA👊🫵.. :
Pemba pwani iyoo.
2026-08-21 12:55:48
0
salma.mussah1
🫣😁binti mchokozi,😝🫦♥️ :
bola uwaambie mama mana
2026-08-23 12:45:20
0
niga.star4
Niga star :
watabaki kuongelea2 amna chochote
2026-08-20 22:33:35
1
yussufjuma23
zanzibar :
kivipi mtwara Inaitwa mikoa ya kimasikini iliuliwa hii mikoa
2026-08-20 21:07:13
0
user16566213703720
bin kombo 2255191 :
tatizo wabara hawathamini kwao saivi mtwara ingekuwa mbali sana kwa maendeleo ya utalii, lakn ndo wanakimbia kwao
2026-08-22 10:20:49
0
fatuma.issa683
Fety :
🥰🥰🥰
2026-08-21 04:28:24
0
user85491113526073
asnaty tz :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-21 14:48:34
0
nashamohamed101
Nasha white 🦋🍒👑 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-21 05:39:14
0
suu52090
Suu :
😁😁
2026-08-20 13:26:54
0
abuujalaly_ramadhwan
Abuujalaly :
💯💯💯
2026-08-20 22:01:25
0
To see more videos from user @mtwara_leo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About