@laughs_on_leonardo: HUYU MZEE HAELEWEKI😂😂😂😂😂 @mzeeshayo_ Watanzania wote, ndani na nje ya nchi, pamoja na marafiki wa Tanzania kutoka sehemu mbalimbali duniani, mnakaribishwa kushuhudia historia ikiandikwa katika uzinduzi rasmi wa Julius Nyerere Hydropower Plant (JNHPP), Rufiji. 📅 Jumamosi, tarehe 22 Agosti 2026 🇹🇿 Mgeni Rasmi: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Huu si uzinduzi wa kawaida. Ni hatua kubwa katika safari ya Tanzania kuelekea usalama wa nishati, ukuaji wa uchumi na maendeleo endelevu. #ndotoYatimia #mpangoumewezekana Cc: @philip_talent255 🎥: @jaykiporo @sixndale
Leonard Butindi
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 13:45:18 GMT
Music
Download
Comments
moses gospel :
who laughing with me
2026-08-20 14:01:13
5
msomali Bab far :
baba Ake Leonard
2026-08-20 17:57:01
3
kendric :
mzee shayo
2026-08-20 13:57:52
1
Hd nasrah :
mzeee wakujiamlia mambo
2026-08-20 13:58:35
1
Official™️ :
wa kwanza leo 🥰
2026-08-20 13:55:05
1
coco :
:me mwenyewe nikataka nishangae et rama kwa ninavyo jijua:
2026-08-22 17:22:43
0
Msimbazi Fans 🩸 :
free WI Fi tujuane😁
2026-08-20 18:22:33
1
MSHANA 🧘🦁 :
Rama amehusika vip apo😬😬
2026-08-20 17:38:04
1
glassman_zanzibar :
Fundi ,engineer
2026-08-23 16:23:04
0
𝒩𝓊𝓈𝓇𝒶𝓉💜☪️💞 :
10/10 nalipa
2026-08-20 13:53:57
1
misana max :
kaka shikamoo
2026-08-20 19:18:12
0
Riotech_Tz :
Ihiiiiii😂😂😂😂
2026-08-20 13:54:04
1
$tar Tz🌟 :
mmenza vizuri ila memaliza vibaya
2026-08-20 21:18:12
0
Kijiti_ :
Brother K 🤣🤣🤣
2026-08-21 08:42:50
0
Leopold Mujaki 🇹🇿 :
Leonardo umenikosea sana kumsifia Bi Msumi
2026-08-23 03:32:36
0
laulian 45 :
😂😂😂😂nimecheka adi kazn kila mtu ananiangari
2026-08-20 14:37:09
0
YOUNG LEONARDO 🫂💪 :
😂ataeleweka mwishon😂
2026-08-20 13:57:27
2
misana max :
mungu nisaidie leonaldo butindi aone comment zangu 🙏🙏🙏🙏 kaka naomba unisaidie
2026-08-20 19:27:10
0
Matilda aff :
Hey! Nimependa sana content yako, especially the way you present your videos. Nimekutumia DM, ukiipata please check it. Ningependa tuongee zaidi kuhusu content yako na kile unachofanya
2026-08-20 15:52:35
0
siasa na wanasiasa :
inazigua tuma tena
2026-08-20 13:54:54
1
vilast :
20/20 anza namaliza
2026-08-20 13:56:45
1
Afootball :
Mbona kama Mdogo mtu uyo
2026-08-20 13:58:02
1
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm
homepage.