@mrshadracktz: #creatorsearchinsights Tupo kijiweni hapa Kidebe, Halmashauri ya Iringa Mjini, tukifuatilia kwa karibu suala la dhana ya kula mbwa. Ukweli wake tunauleta bila kuficha! 👀🔥 #BabaHapumziki #Kidebe #Iringa #UkweliWaIringa
Mr Shadrack
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 14:28:06 GMT
Music
Download
Comments
myovela dracula :
Wahehe Tujuane
2026-08-20 17:59:05
24
@papaafrank2 :
boda boda mmbeya analewa nayuko nasiri zawatu
2026-08-21 07:44:23
12
mlowe og :
mi ni mhehe lakn ni uongo
2026-08-20 19:00:06
7
typing.... :
iih video daaa washikaji wangu wasione daaa wahehe tumehaibikaa jmni daaah
2026-08-20 14:42:49
6
rehemakihombo#deafrican queen :
sasa tutajitetea vip kweny hili🥺
2026-08-22 09:46:41
3
chibonge🥰😍 :
eeeh unyiaa uo eeee
2026-08-21 00:12:51
1
Emm :
wanakulaga hawa sema tu wanaogopa kusema
2026-08-22 09:10:16
1
kai :
mhj amani mimi mhehe lakini apo apana
2026-08-21 16:11:31
2
emelithakipalile8 :
ohooooooo,Kibebe hiyoooo.
2026-08-20 18:13:04
0
Anny❤️ :
Yoooh wahehe kuwatetea n kazi 😂😂
2026-08-21 07:07:18
1
MWENYE MEMA YAKE MJINI :
jaman
2026-08-23 10:05:10
0
ROSE NGUYU :
bro fika mpaka kwetu weru
2026-08-22 19:05:33
0
some ideas :
wahehe mtatukwepea wapi Kwa hili 😁😁😁😁😂
2026-08-22 10:19:33
1
kimzer msafi :
Hapo ndio Samia imefikisha nchi
2026-08-21 00:14:41
1
kz :
kwan inaubaya gan?
2026-08-22 20:32:56
0
Donca855 :
daah wazee mbele ya kamela hapo mnatuaibisha sasa😆😂🤣
2026-08-22 21:02:04
0
Ukhutee Sharifa :
jaman jaman Kuna ukweli hapo mbona mm natoka huko na sijawahi ona jaman
2026-08-22 11:50:12
0
bellacassa_by_judie :
Wamelewa hawa msiwaamini
2026-08-22 13:36:05
0
mgaravingi :
max max max umetuponza
2026-08-22 15:08:27
0
mchicha :
kwani inazuiwa kula
2026-08-22 19:27:26
0
slender_braids :
Hahahaahha
2026-08-22 18:19:13
0
Bruno@Ngenzi💯 :
ahaaaa ...
2026-08-20 18:35:16
0
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.