@dr_daniel_md: VIJANA MPOO Watu wengi wanafikiri oral sex haina madhara makubwa, lakini ushahidi wa kisayansi unaonesha kuwa baadhi ya maambukizi ya HPV yanaweza kuhusishwa na ongezeko la hatari ya saratani, hasa saratani za sehemu ya koo na mdomo. Katika video hii nimeelezea kwa undani ushahidi uliopo, jinsi HPV inavyoweza kuhusika, na kwa nini ni muhimu kuelewa hatari kabla ya kufanya maamuzi kuhusu afya yako. 🎥 Tazama video hadi mwisho ujue ukweli unaosemwa na sayansi. #Afya #OralSex #HPV #Saratani #SarataniYaKoo

user38196333796
user38196333796
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 14:43:51 GMT
6366
202
9
51

Music

Download

Comments

ukhtyummy2002
official ummy :
ALLAAH atunusuru
2026-08-20 15:24:53
4
lavie2335
lavie God's daugther💯 :
nimependa mafunzo yako yanastara
2026-08-29 01:32:34
0
pendo.360
Pendo 36 :
Nihatari sana😳😳
2026-08-28 21:05:06
0
essyj570
💋essy💦 :
Dokta kua na kiuvimbe pemben y uke n sabab ya nn?
2026-08-25 14:56:58
0
cambare09
yasri :
vell
2026-08-20 16:05:06
0
cambare09
yasri :
hongera sana doctor
2026-08-20 16:05:28
1
samsonc875
Sam🇹🇿 :
Usitutishe😁
2026-08-29 05:29:59
0
yohanakazinza
yohana :
tunazingua sana wanaume tunajikuta mafundi kwenye hamna kaka hainamana kufanyahivo
2026-08-28 17:53:54
0
swahili.adventure
Swahili Adventure :
😳😳😳
2026-08-29 04:53:48
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About