jamani wasukuma kweli mnasema taifa kubwa sijui kwann mm nilzaliwa mkabila nipo hapa kenya nataman namm nije mnifundishe hivo leo nimeshinda napiga matizi yakucheza hivo ila nimeshindwa bila msukuma kunifundish☺️☺️☺️☺️☺️
2026-08-22 03:22:09
2
kp_car_sound1 :
Wanyumbani kwetu Wasukuma oyeee
2026-08-21 08:42:55
5
Rachel's🧑⚕️🧑⚕️ :
Jaman me msukuma og lakini mbona kule kwetu sionagi wanaovaaga ayo ya shingoni me najuaga ni masai tu kumbe adi wasukuma jaman😳😳😳😳
2026-08-21 06:33:54
7
🦋Ma mzurii😜 :
waaaooh 🥰🥰🥰
2026-08-21 07:11:24
1
Jenipher Edward💞🌹 :
najivunia sana kuwa msukuma mm❤❤🥰💯
2026-08-21 14:43:27
4
monarisa :
mm ndo huyo niliyevaa capero
2026-08-21 21:02:10
2
Enock Masulubu :
watu wa maana kabisa hawa
2026-08-21 18:32:49
2
MR DANIEL :
jina la nyimbo tafazali
2026-08-21 11:46:21
3
CEFRINE OUTFIT STORE 😍 :
raha sana kuwa msukuma
2026-08-21 18:22:33
1
Martha dotto :
weweeeeeeeee. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-21 06:43:38
1
Sabra Salum360 :
mm uyo mweny kofia
2026-08-21 06:23:12
2
Me :
Wanapandela 😁
2026-08-21 12:51:16
4
Emmanuel Japhet 71 :
waoooo kabila kubwa duniani hongeren
2026-08-21 17:58:23
1
Saidi Juma :
Nazunyaga baba🥰🥰
2026-08-21 13:04:51
1
user1634788510024 :
utamu Sana
2026-08-21 13:27:44
2
HANDSOME BOY :
Ng’waweja
2026-08-21 07:25:25
1
omar disegner vyombo :
muhalihi wa mayu
2026-08-21 12:22:32
1
Diane 🥰 :
⚘️⚘️⚘️⚘️⚘️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-08-21 06:00:19
2
jenifa peteliy :
nawapenda san
2026-08-21 11:41:21
1
Kitambi 002 :
kwakweli siku hizmmetamba hongereni sana wasukuma
2026-08-21 09:52:58
1
To see more videos from user @sememondo9714, please go to the Tikwm
homepage.