@mariamjohn08: #majukumu💔🙌

Mariam John 🫰
Mariam John 🫰
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 14:52:02 GMT
11363
284
46
15

Music

Download

Comments

shangapoint1
shanga point handmade dizain👌 :
mm ni lastborn lkn simuombi first born wala second born namuomba third born kwanza kibonge ana roho nzuri vepe😂😂😂😂😂
2026-08-21 06:52:48
8
being_mommercy
Being_mommercy😍 :
yaan huyu wangu kbs mwezi wa Sita ndo alinitolea kali ya mwaka ilikuwa siku yke ya kuzaliwa nikamwambia aje kwangu akagoma akanijibu kama vipi hyo cake kuleni wenyewe😂😂😂mbn nilimpelekea bila kupenda tena ni last born acha tu😁😁😁
2026-08-21 03:57:26
7
deedebbie14
Dee❤️Debbie🌺 :
Ila kua first born 🤣🤣 uyu mdogoangu kabisaaa😁
2026-08-21 06:41:43
1
offshor701018255a
Nana :
Wangu nd naamk nakut text iyo yan Nilzm na yup hospital na haja Namby jmn na Nina 10 kweny cm ya kul nachok me 😁
2026-08-21 09:30:46
1
vaileth.eddy
Vee_Collection Mbeya🧣 :
Ndo mpaka umemuita kijumbeee😅😅😅
2026-08-21 08:08:14
2
jeccies
jeccie :
Bora wako anaanza ma shkamoo wangu wanaaanzaga da boss sina hichi ukimpa hamuwasiliani anapotea 😅
2026-08-21 06:33:19
2
kauthar635
Kauthar :
mi Wang haombi direct anasema linalomsibu km njaa km anaumwa hapo itajiongeza wew ila nampend mdg angu na napemd kumsaidia
2026-08-21 06:29:09
1
raykham5
Raykham :
Anamuazima simu mama na kuniuliza narudi lin nyumbani ananimiss🥰🥰
2026-08-21 04:59:09
1
lizyperfumes2125
@Lizy perfumes✨🥰 :
Mm ndo wa mwisho ila mbona siko hivyo yawaa
2026-08-21 06:39:57
1
naa.453
Nasma :
huyu ni mim na dada angu 😁 ndo mana hkn siku imepita bila kumuombea kheri dada angu nampenda sana na namuombea kwa Mungu apate mahela meng mengi nizid kuenjoy 🥰❤️
2026-08-21 04:40:56
1
violeth996
Violeth✝️ :
😂😂😂 Huyu ni wangu kbsa
2026-08-20 17:07:02
1
spolah_cute
spolah🦋🦋 :
Nampenda piah BFF wanguu💯❤️🤍
2026-08-20 15:21:14
1
user3190736babydoll
babydoll :
ila happy 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 21:24:24
1
lizyperfumes2125
@Lizy perfumes✨🥰 :
Mm ndo nina mtoto wa dadaangu nikishaona tu sms odo wangu mzurii mapigo ya moyo yanaenda kasi vipi😅😅😅
2026-08-21 06:40:28
1
qute.penny
Qute Penny :
hyo alivina wa kike au wa kiume
2026-08-21 09:11:15
1
momalice23
Mom Alice❤️✨🦋🫂 :
😂😂 majukum ya dada mkubwa ndo hayo mama🙌
2026-08-20 15:46:22
1
chuda.081
🌻🦋chuda.🌸🦋 :
Ndo huyu rastborn wetu uuuwiiiiii😂
2026-08-21 09:45:25
1
am.aaryon
A A R Y O N 🐼 :
😂😂😂
2026-08-20 15:34:34
2
lizyperfumes2125
@Lizy perfumes✨🥰 :
🥰🥰🥰
2026-08-21 06:39:39
1
lizyperfumes2125
@Lizy perfumes✨🥰 :
😅😅😅
2026-08-21 06:39:42
1
niah6379
Niah :
@Serhaworld🦋 🤣🤣🤣
2026-08-21 08:31:26
1
mercycharles85
mercy fascinate :
😭😭😭
2026-08-21 10:38:18
0
queenie_tz
queenie💞😍 :
@Tuhayfat_♑️Huyu ni wewe
2026-08-21 07:29:31
1
teegee0862
TeeGee :
🥰🥰🥰
2026-08-21 10:51:59
0
vertas_farm_sea_products
vertas_farm_sea_products :
@neloglory 😂
2026-08-21 11:07:00
0
To see more videos from user @mariamjohn08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About