@zungukakereog: #maandamano #tanzaniatiktok #trending #CapCut #creatorsearchinsights

Kaka wa taifa tz
Kaka wa taifa tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 August 2026 14:59:07 GMT
10827
390
69
72

Music

Download

Comments

mick.zegu
MICK ZEGU :
CHADEMA WALIHUSIKA NA UJAMBAZI WZ OCT 29 HAKUNA KUPINGA ,WASITAKE HURUMA
2026-08-21 04:29:01
6
user4985976653715
user4985976653715 :
WANAKATAA NINI HAWA CHADEMA. USHAHIDI ZAIDI YA HUO NI UPI. NA NDIO MAANA WANAKUA NA KAULI ZA KASHFA KUVURUGA WATU WAWAAMINI WAO.
2026-08-20 15:59:33
12
msilikale.charles
Msilikale charles :
mmmmmh
2026-08-20 21:28:24
0
user2151395435610
user2151395435610 :
Alafu mahakama yetu isimfunge lisu nitashangaaa ssana ssana
2026-08-20 23:04:46
3
tedcruz71
tedcruz71 :
walio ua ni nani?
2026-08-21 05:22:26
0
betulekaktr
MKUBWA WAO A.Y.S :
100%
2026-08-20 17:06:53
2
jeniferkaiza8
jenifer kaiza :
chadema ni shida sana
2026-08-20 18:10:35
5
alliy.hassan17
Alliy Hassan :
Umesema tuanzie kwenye tatizo viongozi walipaswa kutenda haki hawa wasingepata nafasi ya hayo yaliyotokea sababu ni viongozi waliogoma kutenda haki
2026-08-20 21:59:11
1
alisa.kurwa
Alisa kurwa :
bunduki alipiga nani
2026-08-20 19:59:12
0
akha.207
akhali.207 :
tuangalie na upande wapili, serekali ingewajibika vile inatakiwa tusingefikia hapo.
2026-08-20 21:26:44
0
ignas.simon.mgalla
ignas simon mgallah :
we tuambie rais kachaguliwa na nani
2026-08-21 04:46:09
0
magesiahmedakida
Bin Ahmed :
sasa kama haki haipatikani watu wafanyaje, ebu ongelea watu kutekwa ili tujue wewe hujatumwa na mtu na unapenda ukweli
2026-08-21 08:11:11
0
dicksonmwansele
dicksonmwansele :
Eti hayo ni maneno ya kisiasa tu eti hakumaanisha hivyo.
2026-08-21 04:33:58
0
user15254861022552
Dalali Dulla Mbezi Kimara :
AI hiyooo
2026-08-21 04:12:47
0
alex.daniel5162
A04 :
sisi tunataka alietoa Ameri ya kuoa wapi
2026-08-20 22:35:50
0
kitenge.ayoub
Kitenge Ayoub :
wanajua wanachokifanya kisa kiongoz ni mmama bhn ila hao chadema ndo wavunja haki wakubwa
2026-08-21 03:52:15
1
mummy.comkenya
Mummy.com.KENYA :
wewe km usifatilie chadema watched kama walivyo
2026-08-20 15:34:10
0
user4326832179780
bzyboe bzy :
Sasa mbn huyo mjamasishaji walimfunga na watu wakatoka
2026-08-21 04:53:26
0
user7985686335695
[email protected] :
Chadema inamiliki vyombo vyaa Dola kweli jamani mbona mna tuona watanzania hatuna akili jaman
2026-08-21 04:28:26
0
buberwa.thomas
Buberwa Thomas :
basi kaka yamepita
2026-08-20 19:45:53
0
sharifa.seifu
SULEIMAN R,4 :
kaka watanzania tulitaka maridhiano kabla y ok29 n CCM awlikata n wakawandaa majeshi kw kamandi tofauti tofauti n amri walipewa n watu wakauwawa
2026-08-21 06:40:41
0
user8138494121229
user8138494121229 :
vipande umeviunganisha vizuri sana! jitaidi utafika mbali
2026-08-21 10:18:15
0
floooooreee
Flooooreeeee mimi :
asa unamuuliza nan
2026-08-21 08:34:47
0
user4814981213333
user4814981213333 :
HAA KUMBE UCHAGUZI HAUKUFANYIKA...?
2026-08-21 06:43:40
0
user1348219517161
yassin Saleh nassoro :
wew
2026-08-21 04:54:45
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About