@rebeccakenan: 🔥 USIOGOPE — SASA UPO YOUTUBE! 🎶🙌 Hatimaye wimbo “USIOGOPE” wa Rebecca Kenan umefika rasmi YouTube! ❤️🔥 Ni wimbo wa imani, tumaini na kumtegemea Mungu hata unapopitia changamoto. 🙏✨ 🎧 Uisikilize sasa hivi kwenye YouTube — Rebecca Kenan ▶️ Tafuta: Rebecca Kenan – USIOGOPE Usisikilize peke yako ❤️ Share na mtu unayemjua anahitaji ujumbe huu leo. 🔥 #Usiogope #RebeccaKenan #NewSong #GospelMusic #TanzaniaGospel
i don't understand swahili but, hii nyimbo ina upako wa hali ya juu nendeni youtube tumsupport binti yetu
2026-08-21 10:05:54
0
brown🫂 :
full song please💞
2026-08-21 03:50:32
1
Amanda ❣️ :
you're doing great
2026-08-20 16:46:22
0
Trixy Stacy :
wow finally the song 🔥♥️💥
2026-08-21 18:47:23
0
𝑺𝒉𝒚𝒛𝒛𝒐𝒉 GraphicDesigner :
me Muislam ila Huyu mtoto kanifanya Niende Kumsikiliza Nyimbo zake zote...Allah azidi kukupa Afya na maisha marefu nyimbo zako Zina leta imani na hofu ya mungu na Matumaini ya Kutokata Tamaaa🙏🙏🙏🙏🙏Ubarikiwe Mdogo Wangu.
2026-08-21 06:19:21
24
argentieargentie :
dice is only just bigining about to make me becarefull on your vidéo.i wait when it will make deeply feeling about to appreciate it
2026-08-21 19:08:39
0
Geey❤️ :
nilikuwa naisubir sanaa, nlisave clip wkt upo studio kila nikiziona. Hatimaye imetoka🥰🙏 Asanteee nmefurahiiii 💪. Ubarikiwe Rebecca Kenan,Mungu azidi kukuinua na kukusimamia, uje kuwa mwimbaji mkubwa wa nyimbo za injili ndani na nje ya Tanzania 🤲. Don't try kugive up,,tupo mashabiki tunapenda kazi zako na hata Mungu wetu wa mbinguni anafurahi pia kuona ni jinsi gan unamtumikia kwa kipaji alichokupa🤗.
2026-08-21 03:37:17
14
Richard :
Donc je suis le seul qui parle français 😳
2026-08-21 04:48:41
5
Azack sebastiyani :
hunabaya mdogowangu semaaliye kutengenezeya hiyo kava alikuwa amelewa aualikuoneya wivu wi mbomkali
2026-08-20 16:32:53
5
precious wambua :
chap t nisha download 👌
2026-08-20 15:19:29
0
Nurah :
Waouh nilikuwa nausubiri kwa hamu kubwa sana huu wimbo 🥰❤️😫🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-20 16:41:21
4
Leon :
mbn siupat jmn😓😓🤔
2026-08-20 16:36:48
2
shiphrah :
mungu akuinue zaid
2026-08-21 11:31:23
0
𝓰𝓮𝓮 𝓽𝓱𝓮 𝓶𝓲𝓷𝓲𝓼𝓽𝓮𝓻 :
Spotify naweza kuupata??
2026-08-21 18:56:27
1
samsaimediaz :
finally much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2026-08-21 06:16:35
1
Nature🏞️🌿 :
beautiful daughter aliyebarikiwa na mungu🙏🙏😍
2026-08-20 19:00:01
1
🧸Da sinie🦇🦅🦉 :
nakupend mno mdogo wang ujue kuna nyimbo za kusiklza na za uwepo sas zako hizi za uwepo kabsaa kwa kwl nikisikilza nyumbo zako zinanitia moyo San yan daaah mungy akubrki san kpnz changh
2026-08-20 18:40:49
1
Shepherd Mining Attorneys :
nan alikua anaingoja hiii🥰
2026-08-21 06:34:08
1
SYNTICHE @ :
💪💪 hongera sana 🥰🥰🔥
2026-08-21 20:29:30
0
naah🤩 :
ahsant mungu kwa afy njema
2026-08-21 22:43:25
0
Crazykid 4 nu6 :
Ameen
2026-08-21 21:42:08
0
Haley :
nyimbo nzuli saaaaaaaaaana daaah🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎸🎤🎤🎤🎤🙏🥁🥁🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
2026-08-21 21:40:00
0
♬ ꧁ 𝙉Ξ𝙊 ꧂ ♬ :
bado yuko naweweeeeeh 🔥
2026-08-22 05:27:40
0
Junyce💙 :
nlikua nimeitegea💪👍
2026-08-21 20:42:23
0
To see more videos from user @rebeccakenan, please go to the Tikwm
homepage.